Mitandao ya kijamii:

RSS:

Radio Vatican

Sauti ya Papa na Kanisa katika majadiliano na ulimwengu

Lugha:

Dr. Gregory Joseph Burke

Tarehe 5 Aprili 2018 Chama cha kitume cha Ukatekumeni Mpya kinaadhimisha Jubilei ya miaka 50, Jimbo kuu la Roma.

Tarehe 5 Aprili 2018 Chama Cha Kitume cha Ukatekumeni Mpya kinaadhimisha Jubilei ya Miaka 50 ya maisha na utume wake Jimbo kuu la Roma.

Papa Francisko kuzindua Mwezi wa Rozari Takatifu, "Divino Amore"

11/04/2018 14:52

Ratiba elekezi ya maadhimisho mbali mbali yatakayohudhuriwa na Baba Mtakatifu Francisko yanaonesha kwamba, Mei Mosi, 2018 atazindua Mwezi wa Rozari Takatifu kwa kusali kwenye Madhabahu ya "Divino Amore", Roma pamoja na kushiriki Jubilei ya miaka 50 ya Jumuiya ya Ukatekumeni mpya.

Tafakari ya Njia ya Msalaba kuzunguka Magofu ya Colosseo mjini Roma kwa mwamka 2018 imetungwa na vijana wa kizazi kipya

Tafakari ya Njia ya Msalaba kuzunguka Magofu ya Colosseo kwa mwaka 2018 imetungwa na vijana wa kizazi kipya kama seemu ya maandalizi ya Sinodi ya Maaskofu kwa ajili ya Vijana.

Tafakari ya Njia ya Msalaba Kuzunguka Magofu ya Colosseo, 2018

30/03/2018 16:50

Baba Mtakatifu Francisko anaendelea kuimarisha utamaduni na sanaa ya Mama Kanisa kuwasikiliza, kuwasindikiza na kuwaongoza vijana katika safari ya maisha yao, kwa kuwajengea uwezo wa kufikiri, kuamua na kutenda. Mwaka 2018 Tafakari ya Njia ya Msalaba imetungwa na vijana wa kizazi kipya!

Tafakari ya Njia ya Msalaba kwa Mwaka 2018 kuzunguka Magofu ya Coloseo mjini Roma imetungwa na vijana wanaoelezea Fumbo la Msabala katika maisha yao!

Tafakari ya Njia ya Msalaba kwa mwaka 2018 kuzunguka Magofu ya Coloseo yaliyoko mjini Roma imetungwa na vijana wa kizazi kipya wanaoliangalia Fumbo la Msalaba katika uhalisia wa maisha yao!

Tafakari ya Njia ya Msalaba Ijumaa Kuu 2018 imetungwa na vijana

23/03/2018 14:00

Baba Mtakatifu Francisko analitaka Kanisa kujenga utamaduni na sanaa ya kuwasikiliza vijana, ili liweze kuwasaidia na kuwasindikiza ili waweze kuwajibika vyema katika maamuzi yao! Tafakari ya Njia ya Msalaba kwa Mwaka 2018 kuzungumza Magofu ya Coloseo imeandaliwa na vijana wa kizazi kipya!

Papa Francisko kutembelea Nchi za Baltic kuanzia tarehe 22-25 Septemba 2018.

Papa Francisko kutembelea Nchi za Baltic kuanzia tarehe 22 hadi tarehe 25 Septemba 2018.

Papa Francisko mwezi Septemba 2018 kutembelea nchi za Baltic!

12/03/2018 12:33

Baba Mtakatifu Francisko ameridhia ombi lililowasilishwa kwake na Maaskofu Katoliki kutoka Lithuania, Latvia na Estonia kwa kushirikiana na viongozi wao la kutaka atembelee katika nchi zao. Hija hii itakuwa hapo tarehe 22 hadi 25 Septemba 2018. Familia ya Mungu katika eneo hili inampongeza Papa!

Baraza la Makardinali Washauri wa Papa Francisko limehitimisha kikao chake cha XXIII.

Baraza la Makardinali Washauri wa Papa Francisko limehitimisha kikao chake cha XXIII.

Baraza la Makardinali Washauri lamaliza kikao chake cha XXIII

01/03/2018 08:17

Baraza la Makardinali Washauri chini ya Baba Mtakatifu Francisko limehitimisha mkutano wake wa XXIII uliochambua pamoja na mambo mengine: umuhimu wa Kanisa kuwa na Katiba ya Kitaalimungu kwa ajili ya Mabaraza ya Maaskofu Katoliki; Rasilimali watu na ulinzi kwa watoto wadogo dhidi ya nyanyaso!

Kanisa linapania kujenga na kuimarisha umoja na mshikamano kati ya waamini wa Kanisa Katoliki, Maaskofu na Khalifa wa Mtakatifu Petro.

Kanisa linapania kujenga na kuimarisha umoja na mshikamano kati ya waamini wa Kanisa Katoliki, Maaskofu na Khalifa wa Mtakatifu Petro!

Vatican inapania kujenga umoja wa waamini na Khalifa wa Mt. Petro!

01/02/2018 10:19

Kardinali Pietro Parolin anasema, Vatican inaendeleza majadiliano katika ukweli na uwazi na Serikali ya Watu wa China na kwamba, wamefikia hatua nzuri katika mazingumzo haya ili kudumisha umoja na mshikamano kati waamini wa Kanisa Katoliki nchini China, Maaskofu na Khalifa wa Mtakatifu Petro!

Papa Francisko akutana na waathirika wa nyanyaso za kijinsia Chile!

17/01/2018 15:09

Baba Mtakatifu Francisko katika hotuba yake kwa viongozi wa serikali, wanadiplomasia na viongozi wa vyama vya kiraia amekemea vikali na kulaani nyanyaso za kijinsia dhidi ya watoto wadogo zilizofanywa na viongozi wa Kanisa nchini Chile. Amekutana na waathirika wa nyanyaso hizi na kuwafariji!

 

Papa Francisko anawaalika waamini kusali na kumwombea ili kufanikisha hija yake ya kitume Amerika ya Kusini.

Papa Francisko anawaalika waamini pamoja na watu wote wenye mapenzi mema kumsindikiza katika sala wakati wa hija yake ya kitume nchini Perù.

Papa Francisko anawaalika waamini kumsindikiza kwa sala!

14/01/2018 14:06

Baba Mtakatifu Francisko wakati wa Sala ya Malaika wa Bwana, kwenye Uwanja wa Kanisa kuu la Mtakatifu Petro mjini Vatican Jumapili, tarehe 14 januari 2018 amewaomba waamini pamoja na watu wote wenye mapenzi mema kumsindikiza kwa sala na sadaka ili kufanikisha hija yake Amerika ya Kusini