Mitandao ya kijamii:

RSS:

Radio Vatican

Sauti ya Papa na Kanisa katika majadiliano na ulimwengu

Lugha:

Dhana ya Sinodi katika maisha na utume wa Kanisa

Siku ya Sala ya Kiekumene imekuwa na mafanikio makubwa katika maisha na utume wa Kanisa.

Siku ya Sala ya Kiekumene imekuwa na mafanikio makubwa katika maisha na utume wa Kanisa kwa sasa na kwa siku za usoni.

Siku ya Sala ya Kiekumene Bari: Mageuzi makubwa katika uekumene!

09/07/2018 16:07

Professa Andrea Riccardi Muasisi wa Jumuiya ya Mtakatifu Egidio anasema, Siku ya Sala ya Kiekumene kwa ajili ya kutafakari, kusali na kuombea amani huko Mashariki ya Kati imekuwa na mafanikio makubwa katika mchakato wa uekumene wa sala na huduma miongoni mwa Wakristo!

Uekumene unajielekeza katika ushuhuda wa imani na dhana ya Sinodi katika maisha na utume wa Kanisa

Uekumene unajielekeza katika ushuhuda wa imani na utekelezaji wa dhana ya Sinodi katika maisha na utume wa Kanisa.

Uekumene unajielekeza katika: Umoja wa imani na dhana ya Sinodi

29/06/2018 13:51

Patriaki Bartolomeo wa kwanza katika ujumbe wake kwa Baba Mtakatifu Francisko katika maadhimisho ya Sherehe ya Watakatifu Petro na Paulo miamba wa imani anasema, kwa sasa uekumene unaanza kujikita katika ushuhuda wa imani na utekelezaji wa dhana ya Sinodi katika maisha na utume wa Kanisa.

Askofu Msonganzila asema, "Dhana ya Sinodi katika maisha na utume wa Kanisisa" ndiyo njia muafaka ya kukabiliana na changamoto za kichungaji.

Askofu Msonganzila wa Jimbo Katoliki Musoma asema, "Dhana ya Sinodi katika maisha na utume wa Kanisa" ndiyo njia muafaka ya kukabiliana na changamoto mamboleo katika mchakato mzima wa uinjilishaji mpya.

Askofu Msonganzila: Changamoto za kichungaji zikabiliwe Kisinodi!

14/06/2018 15:17

Askofu Michael Msonganzila wa Jimbo Katoliki la Musoma, Tanzania anasema, "Dhana ya Sinodi katika maisha na utume wa Kanisa" ndiyo njia muafaka kwa familia ya Mungu ndani na nje ya Tanzania kuweza kupambana na changamoto za maisha na utume wa Kanisa katika mchakato wa uinjilishaji mpya!

Kardinali Miguel Obando Bravo enzi ya uhai wake, alitangaza na kushuhudia Injili ya haki, amani, upendo na maridhiano kati ya watu!

Kardinali Miguel Obando Bravo enzi ya maisha yake alisimama kidete kutangaza na kushuhudia Injili ya haki, amani na maridhiano kati ya watu!

Kardinali Miguel O. Bravo, mtetezi wa wanyonge, amepumzika kwa amani!

05/06/2018 09:08

Kardinali Miguel Obando Bravo anakumbukwa sana na Mama Kanisa kutokana na majitoleo yake ya kusimama kidete kutangaza na kushuhudia Injili ya haki, amani na maridhiano kati ya watu! Ni kiongozi aliyemwilisha dhana ya Sinodi katika maisha na utume wa Kanisa! Alikuwa matata kwa hesabu na fizikia!

Baraza la Maaskofu Katoliki Australia linaadhimisha mkutano wa baraza kuu linalowawakilisha watu wa Mungu nchini humo!

Baraza la Maaskofu Katoliki Australia linaadhimisha mkutano wa Baraza kuu unaowajumuisha wawakilishi kutoka katika makundi mbali mbali ya familia ya Mungu nchini Australia.

Papa Francisko aridhia maadhimisho ya Baraza kuu Australia!

22/05/2018 07:43

Familia ya Mungu nchini Australia baada ya maadhimisho ya Sherehe ya Pentekoste, 2018 limeaanza maadhimisho ya Baraza kuu linaloiunganisha familia ya Mungu nchini Australia katika ujumla wake. Lengo ni kusaidia kupyaisha maisha na utume wa Kanisa; kujenga na kudumisha utamaduni wa kujadiliana!

Papa Francisko anawataka Maaskofu wa Chile kujenga Kanisa la kinabii linalojikita katika huduma makini kwa watu wa Mungu.

Papa Francisko anawataka Maaskofu Katoliki nchini Chile kujenga Kanisa la kinabii linalosimikwa katika huduma makini kwa watu wa Familia ya Mungu.

Papa Francisko: Jengeni Kanisa la Kinabii na Huduma nchini Chile!

18/05/2018 08:54

Baba Mtakatifu Francisko baada ya kukutana, kusali, kutafakari na kuchunguza dhamiri pamoja na Baraza la Maaskofu Katoliki Chile kuhusu kashfa ya nyanyaso za kijinsia zilizochafua na kuvuruga umoja wa Kanisa, anawataka sasa kujenga Kanisa la kinabii linalosimikwa katika msingi wa huduma!

Kashfa za nyanyaso za kijinsia nchini Chile kushughulikiwa kwa dhana ya sinodi katika maisha na utume wa Kanisa.

Kashfa ya nyanyaso za kijinsia nchini Chile kushughulikiwa kwa dhana ya sinodi katika maisha na utume wa Kanisa.

Papa Francisko anakutana na Maaskofu wa Chile tarehe 15-17 Mei, 2018

12/05/2018 17:52

Baba Mtakatifu Francisko anasema, kashfa ya nyanyaso za kijinsia nchini Chile itashughulikia kwa kuambata dhana ya sinodi katika maisha na utume wa Kanisa, ili kuchunguza dhamiri, kuona sababu, kutoa mapendekezo na hatua muhimu zinazopaswa kuchukuliwa na Kanisa nchini Chile!

 

Wakristo wote wanaitwa na kutumwa kushiriki maisha na utume wa Kanisa kwa njia ya Sakramenti ya Ubatizo.

Wakristo wote wanaitwa na kutumwa kutangaza na kushuhudia Habari Njema ya Wkovu kwa neema inayobubujika kutoka katika Sakramenti ya Ubatizo.

Maisha ya kitawa ndani ya Kanisa: Udugu, Utume, Karama na Sinodi

09/05/2018 09:30

Baraza la Kipapa la Mashirika ya Kitawa na Kazi za Kitume linasema, Kanisa kwa sasa linapenda kukazia mafundisho ya Mababa wa Mtaguso Mkuu wa Pili wa Vatican na viongozi wa Kanisa katika maisha ya kitawa hasa zaidi: udugu, utume, karama na watawa kutembelea kwa pamoja, yaani: Sinodi.