Mitandao ya kijamii:

RSS:

Radio Vatican

Sauti ya Papa na Kanisa katika majadiliano na ulimwengu

Lugha:

Dhana ya Sinodi

Maandalizi ya maadhimisho ya Sinodi ya Maaskofu Ukanda wa Amazonia yaanza kushika kasi mjini Vatican.

Maandalizi ya maadhimisho ya Sinodi ya Maaskofu Ukanda wa Amazonia yaanza kushika kasi mjini Vatican.

Maandalizi ya Sinodi ya Amazonia yaanza kushika kasi!

13/04/2018 15:23

Maandalizi ya maadhimisho ya Sinodi ya Maaskofu Ukanda wa Amazonia itakayofanyika mwezi Oktoba 2019 kwa kuongozwa na kauli mbiu "Amazonia: njia mpya ya Kanisa na kwa ajili ya ekolojia endelevu" yameanza kutimua vumbi mjini Vatican kwa uwepo na ushiriki wa Baba Mtakatifu Francisko!

Papa Francisko amekutana katika ukumbi wa Papa Paulo VI, karibia vijana elfu tatu kutoka jimbo la Brescia nchini Italia

Papa Francisko amekutana katika ukumbi wa Papa Paulo VI, karibia vijana elfu tatu kutoka jimbo la Brescia nchini Italia

Papa na Vijana wa Brescia Italia:Jikane binafsi na kuvua utu wa zamani!

07/04/2018 16:00

 Baba Mtakatifu Francisko Jumamosi  tarehe 7 Aprili 2018 amekutana na vijana kutoka Jimbo Katoliki  la Brescia nchini Italia  kwenye  Ukumbi wa Mwenyeheri Paulo VI.Amewaalika wamfuase Mungu wa upendo kwa kujikana binafsi na hasa kuvua kile kiitwacho katika Biblia,utu wa zamani. 

 

Askofu mkuu mstaafu Josaphat Louis Lebulu katika maisha na utume wake amekazia sana dhana ya sinodi na familia ya Mungu, sehemu muhimu ya uinjilishaji

Askofu mkuu mstafu Josaphat Louis Lebulu wa Jimbo kuu Katoliki la Arusha, Tanzania katika maisha na utume wake, amekazia sana umuhimu wa kumwilisha dhana ya Sinodi na Familia ya Mungu katika maisha na utume wa Kanisa.

Askofu mkuu mstaafu Lebulu: "Dhana ya Sinodi" & "Familia ya Mungu"

06/04/2018 08:50

Askofu mkuu mstaafu Josaphat Louis Lebulu wa Jimbo kuu la Arusha nchini Tanzania katika maisha na utume wake kama Askofu alipenda kukazia "dhana ya Sinodi" kama jukwaa linaloikutanisha familia ya Mungu ili kusali, kutafakari, kupanga, kuamua na kutekeleza sera na mikakati ya utume wa Kanisa.

Gombo la Sheria za Kanisa linaadhimisha Jubilei ya Miaka 100 tangu kutungwa kwake, mwaka 1917.

Gombo la Sheria za Kanisa linaadhimisha Jubilei ya Miaka 100 tangu kutungwa kwake mwaka 2017.

Miaka 100 ya Gombo la Sheria za Kanisa: umuhimu wa sheria na taratibu

09/10/2017 08:35

Mama Kanisa anaadhimisha Jubilei ya Miaka 100 tangu kuanzishwa kwa Gombo la Sheria za Kanisa kunako mwaka 1917 na Papa Pio X, chombo muhimu sana cha majiundo, maisha na utume wa Kanisa katika ulimwengu mamboleo sanjari na Katekisimu ya Kanisa Katoliki. 

Papa Francisko asikitishwa kwa viongozi wa kimataifa kuendelea kusigana kwenye masuala nyeti kimataifa!

Papa Francisko asikitishwa sana na tabia ya viongozi wa kimataifa kuendelea kusigana hata katika masuala tete ya kimataifa!

Yaliyojiri katika mahojiano kati ya Bw. Scalfari na Papa Francisko

08/07/2017 15:02

Kwa mara nyingine tena, Bwana Eugenio Scalfari amepata nafasi nyingine ya kuhojiana na Baba Mtakatifu Francisko kuhusu masuala mbali mbali katika maisha na utume wa Kanisa amekazia umuhimu wa ujenzi wa upendo na mshikamano; huduma makini , dhana ya Sinodi, haki na amani!

Hotuba ya Askofu wa Las Cruces wa Mexco mpya na Rais wa Kamati ya Kimataifa ya Haki na amani Oscar Cantu’ itawakilisha hali halisi ya kunyanyaswa dini

Hotuba ya Askofu wa Las Cruces wa Mexco mpya na Rais wa Kamati ya Kimataifa ya Haki na amani Oscar Cantu’ itawakilisha hali halisi ya kunyanyaswa kwa dini , mauaji na ukiukwaji wa haki za kibinadamu katika nchi za Mashariki ya kati

Mkutano wa Maaskofu Marekani kuhusu uhuru wa dini na wahamiaji

15/05/2017 17:12

Tarehe 14-15Juni 2017 huko Indianapolis Baraza la Maskofu wa Marekani watafanya mkutano wa mwaka,mada zitakazotolewa ni pamoja na maendeleo ya mpango kuhusu Bima ya afya uliyo kiukwa na Donald Trump pia utakuwa mkutano wa kwanza kufanya maandalizi ya Sinodi ya Maaskofu 2018