Mitandao ya kijamii:

RSS:

Radio Vatican

Sauti ya Papa na Kanisa katika majadiliano na ulimwengu

Lugha:

Dhana ya kuvumiliana

Papa Francisko anasema tuombe Bwana neema ya kuwa na saburi wakati wa kubeba mabegani mwetu matatizo

Papa Francisko anasema tuombee Bwana neema ya kuwa na saburi wakati wa kubeba mabegani mwetu matatizo

Tuombe Bwana fadhila ya kuwa na saburi hasa katika safari ya majaribu!

12/02/2018 15:05

Tuombe Bwana fadhila ya saburi hasa kwa yeyote aliyeko katika safari akibeba mabegani mwake matatizo na majaribu,kama walivyo ndugu wakristo wanaoteswa karika nchi za Mashariki.Ndiyo nia kuu ya maombi ya Baba Mtakatifu Francisko,katika Misa Takatifu,asubuhi tarehe 12 Februari 2018 

 

Siku kuu ya "Deepavali" yaani Siku kuu ya mwanga iwe ni chachu kwa waamini kujenga utamaduni wa kuvumiliana, kuheshimiana na kuthaminiana zaidi.

Siku kuu ya "Deepavali" yaani Siku kuu ya Mwanga iwe ni fursa ya waamini wa dini mbali mbali kujenga utamaduni wa kuvumiliana, kuheshimiana na kuthaminiana hata katika tofauti zao msingi.

Jengeni utamaduni wa kuvumiliana, kuheshimiana na kuthaminiana!

17/10/2017 09:53

Waamini wa dini mbali mbali duniani wanahamasishwa kujenga na kudumisha utamaduni wa kuvumiliana, kuheshimiana nakuthamianiana, ili kuweza kufurahia amani na utulivu katika jamii mambo msingi katika mchakato wa maendeleo endelevu ya binadamu: kiroho na kimwili!