Mitandao ya kijamii:

RSS:

Radio Vatican

Sauti ya Papa na Kanisa katika majadiliano na ulimwengu

Lugha:

Dhambi

Yesu akiinuliwa juu ya nchi, atawavuta wote kwake, kielelezo cha utii na utimilifu na mwanzo wa Agano Jipya na la milele!

Kristo Yesu akiinuliwa juu ya nchi, atawavuta wote kwake, kielelezo cha hali ya juu kabisa cha utii kwa Baba yake wa mbinguni, mwanzo wa Agano Jipya na la milele.

Kristo Yesu akishakuinuliwa juu ya nchi, atawavuta wote kwake!

13/03/2018 14:46

Saa ya Kristo Yesu kadiri ya mafundisho ya Mwinjili  Yohane ni Fumbo la Pasaka, yaani: Mateso, Kifo na Ufufuko wa Kristo unaomkirimia mwanadamu ukombozi. Hiki ni kielelezo cha hali ya juu kabisa cha Utii kwa Baba yake wa milele na utimilifu wa Agano Jipya na la Milele linalofumbata Sadaka yake!

 

Yesu Kristo aliteswa  na kufa Msalabani ili kuwakomboa wanadamu kutoka katika lindi la dhambi na mauti!

Kristo Yesu aliteswa na kufa Msalabani ili kuwaokomboa watu kutoka katika lindi la dhambi na mauti.

Kwaresima ni kipindi cha mapambano dhidi ya dhambi na mauti!

10/03/2018 06:30

Kristo Yesu hana budi kuinuliwa ili kila mtu aaminiye awe na uzima wa milele katika Yeye. Fumbo la Umwilisho linalopata utimilifu wake katika Fumbo la Pasaka linalenga kumkomboa mwanadamu kutoka katika lindi la dhambi na mauti! Kristo ni mpatanishi kati ya Mungu na binadamu na kati yao wenyewe!

Barua ya Placuit Deo inayohusu baadhi ya mantiki ya wokovu kikristo kutolewa 1 Machi 2018

Barua ya“Placuit De” ya Baraza la Kipapa la Mafundisho Tanzu ya Kanisa kwa Maaskofu wa Kanisa Katoliki inayohusu baadhi ya mantiki ya wokovu kikristo.

Barua ya Palacuit Deo inayohusu baadhi ya mantiki ya wokovu kikristo!

01/03/2018 16:29

Barua ya “Placuit Deo" ya Baraza la Kipapa la Mafundisho Tanzu ya Kanisa kwa Maaskofu wa Kanisa Katoliki inayohusu baadhi ya mantiki ya wokovu kikristo kutangazwa tarehe 1 Machi 2018,ikiwa inasisitiza na kufafanua kwa kina wokovu kikristo kwa njia ya Kristo. Kwake yeye sisi tumekombolewa
 

 

 

Tukio lililotokea katika Jimbo la Ihara nchini Nigeria litufundishe wakristo kushinda dhambi ya kuwa na ukabila

Tukio lililotokea katika Jimbo la Ihara nchini Nigeria litufundishe wakristo kushinda dhambi ya kuwa na ukabila

Padre Zagore:Ni vema kushinda dhambi ya ukabila,si tabia ya kikristo!

24/02/2018 09:33

Jambo lililojitokeza la ukabila hadi kufikia hatua yake kujiudhuru ni suala ambao limetoa mwangwi sana katika Makanisa ya Afrika.Padre D.Zagore Mtaalimungu anatafakari suala la Askofu P.E.Opkalaeke wa jimbo la Ihara nchini Nigeria na kusema kuwa, wakristo tushinde dhambi ya ukabila

 

 

 

Papa Francisko: kamari ni dhambi kubwa inayopukutisha maisha na kudhalilisha utu na heshima ya binadamu.

Papa Francisko: kamari ni dhambi kubwa inayopukutisha maisha na kudhalilisha utu na heshima ya binadamu!

Kamari ni dhambi kubwa inayopukutisha maisha na utu wa binadamu

03/02/2018 16:01

Baba Mtakatifu Francisko anasema kwamba, kamari ni upati ni dhambi kubwa inayopukutisha maisha ya watu na kudhalilisha utu wa binadamu na hivyo kuwa ni chachu ya rushwa, ufisadi na kizingiti katika mchakato mzima wa maendeleo endelevu ya binadamu, ustawi na mafao ya wengi.

Ushindi wa Kristo juu ya dhambi na mauti unafumbatwa katika unyenyekevu, mateso, kifo na ufufuko!

Ushindi wa Kristo Yesu juu ya dhambi na mauti unafumbatwa katika unyenyekevu, mateso, kifo na ufufuko kutoka wafu na wala hakuna njia ya mkato!

Ushindi wa Kristo Yesu unafumbatwa katika Fumbo la Msalaba!

03/02/2018 08:26

Mama Kanisa anatumwa kutangaza Habari Njema ya Wokovu na kuendeleza ile kazi ya ukombozi iliyoanzishwa na Kristo Yesu kwa njia ya Fumbo la Pasaka yaani: mateso, kifo na ufufuko wake. Kanisa linaendeleza kazi ya uinjilishaji inayofumbatwa katika huduma ya elimu, afya na maendeleo endelevu!

Ni huzuni kuona watoto wadogo hawajuhi hata kufanya hata ishara ya msalaba, badala yake wanawafundishwa kuchora vizuri picha ya msalaba

Ni huzuni kuona watoto wadogo hawajuhi hata kufanya hata ishara ya msalaba, badala yake wanawafundishwa kuchora vizuri picha ya msalaba

Unaweza kuwa Baba,iwapo unamfanya mtu awe na imani na ujasiri wa kusema ukweli!

26/01/2018 17:15

Katika mahubiri ya Baba Mtakatifu katika Kikanisa cha Mtakatifu Marta,26 Janauari 2018,amesistiza maneno matatu yanayo elekezwa na Mtume Paulo. Ili kutangaza Kristo kuwa ni Mwana,kushuhdia na umama wa Kanisa.Unaweza kuwa baba iwapo utafanya mtu awe na imani ya kusema ukweli 

 

Papa Francisko anawaalika waamini kujenga utamaduni wa kuwaalika watu, kufahamiana na kujitambulisha kati ya watu!

Papa Francisko anawaalika waamini kujenga utamaduni wa kualika, kufahamiana na kujitambulisha kati ya watu.

Papa: Jitahidini kualika, kufahamiana na kujitambulisha na watu!

14/01/2018 11:15

Maadhimisho ya Siku ya Wakimbizi na Wahamiaji Duniani kwa Mwaka 2018 imekuwa ni nafasi kwa Baba Mtakatifu Francisko kutoa mwaliko kwa waamini pamoja na watu wote wenye mapenzi mema kuhakikisha kwamba, wanatoa mwaliko, wanafahamiana na kujitambulisha kati ya watu kama ushuhuda amini!