Mitandao ya kijamii:

RSS:

Radio Vatican

Sauti ya Papa na Kanisa katika majadiliano na ulimwengu

Lugha:

Dhamana na wajibu wa Chuo Kikuu cha Kikatoliki

Umoja, upendo na mshikamano ni vinasaba na utambulisho wa watanzania mahali popote pale walipo!

Umoja, upendo na mshikamano ni sehemu ya vinasaba na utambulisho wa watanzania mahali popote pale walipo!

Umoja na mshikamano ni vinasaba na utambulisho wa watanzania!

15/05/2018 12:03

Elimu iwasaidie wanafunzi: kufikiri na kutekeleza kile wanachofikiri kama sehemu muhimu sana ya huduma kwa binadamu na jamii katika ujumla wake kwani dhamana na wajibu wa Chuo kikuu ni:  kufundisha, kufikiri na kutenda kama sehemu ya mchakato wa maendeleo endelevu ya binadamu!

Chuo kikuu cha Kikatoliki cha Moyo Mtakatifu wa Yesu, Milano: Warithi na wagunduzi. Vijana ni wadau wa historia.

Chuo Kikuu cha Kikatoliki cha Moyo Mtakatifu wa Yesu, Sacro Cuore cha Milano: warithi na wagunduzi. Vijana ni wadau wa historia.

Vyuo vikuu vina dhamana ya malezi na majiundo makini ya vijana

16/04/2018 10:16

Vijana wanaweza kuwa wagunduzi na watu wanaotumia vyema maendeleo ya sayansi na teknolojia kwa ajili ya ustawi na maendeleo ya binadamu aliyeumbwa kwa sura na mfano wa Mungu ikiwa kama watazingatia: ukweli, uzuri, majadiliano, mema na mazuri kutoka kwa jirani zao!