Mitandao ya kijamii:

RSS:

Radio Vatican

Sauti ya Papa na Kanisa katika majadiliano na ulimwengu

Lugha:

Daraja Takatifu la Upadre

Familia ya Mungu nchini Tanzania inamshukuru Mungu kwa zawadi ya wito, daraja na utume wa Mapadre!

Familia ya Mungu nchini Tanzania inamshukuru Mungu kwa zawadi, wito, maisha na utume wa Mapadre.

Familia ya Mungu Tanzania inamshukuru Mungu kwa zawadi ya Upadre

17/08/2017 14:38

Maadhimisho ya Jubilei ya Mwaka wa Padre imekuwa ni fursa ya kumshukuru Mungu kwa zawadi ya maisha, wito na utume wa Upadre! Imekuwa ni fursa ya kujichunguza pale ambapo wamefanya vyema ili kumshukuru, kuomba toba na wongofu wa ndani, tayari kujiwekea sera na mikakati ya kuboresha maisha!

Mapadre wanahamasishwa kupyaisha maisha na utume wao kwenye shule ya Bikira Maria.

Mapadre wanahamasishwa kupyaisha maisha na utume wao kwenye shule ya Bikira Maria.

Mapadre endelezeni maisha na utume wenu katika shule ya Bikira Maria

17/08/2017 13:36

Bikira Maria ni mfano na kielelezo cha imani, matumaini na mapendo, kwani amediriki kuwa ni mfuasi amini wa Kristo Yesu na chombo cha huduma makini kwa jirani zake; mtindo na mfumo wa maisha unaopaswa kutekelezwa na Mapadre kama sehemu ya majiundo yao ya awali na endelevu katika Kanisa.

Familia ya Mungu nchini Tanzania imefunga rasmi mwaka wa Padre Kitaifa, tarehe 15 Agosti 2017.

Familia ya Mungu nchini Tanzania imefunga rasmi mwaka wa Padre kitaifa, kwa Ibada ya Misa Takatifu tarehe 15 Agosti 2017.

Kilele cha Mwaka wa Padre Tanzania: Ukuu, Utakatifu na Wito wa Upadre

16/08/2017 15:29

Askofu mkuu Protase Rugambwa, Katibu Mwambata wa Baraza la Kipapa la Uinjilishaji wa watu ambaye pia ni Rais wa Mashirika ya Kimissionari ya Kipapa ameongoza Ibada ya kufunga Mwaka wa Padre Tanzania na mahubiri kutolewa na Askofu msaidizi Methodius Kilaini wa Jimbo Katoliki Bukoba.

 

Maadhimisho ya Mwaka wa Padre Tanzania: kutambua ukuu na utakatifu wa Daraja Takatifu ya Upadre

Maadhimisho ya Mwaka wa Padre Tanzania: kutambua na kuthamini ukuu wa DarajaTakatifu ya Upadre katika maisha na utume wa Kanisa.

Yaliyojiri kilele cha maadhimisho ya Mwaka wa Padre Tanzania!

16/08/2017 14:00

Maadhimisho ya Mwaka wa Padre nchini Tanzania imekuwa ni nafasi ya kutafakari: maisha, wito, dhamana, ukuu na utakatifu wa Daraja Takatifu ya Upadre katika maisha na utume wa Kanisa ndani na nje ya Tanzania. Kimekuwa ni kipindi cha kuhamasisha miito ya Daraja Takatifu ya Upadre!

Wito na maisha ya kipadre yamehifadhiwa katika chombo cha udongo!

Wito na maisha ya kipadre yamehifadhiwa kwenye chombo cha udongo!

Alessandro Manzi, C.PP.S apewa Daraja Takatifu ya Upadre!

24/07/2017 10:53

Mapadre katika maisha na utume wao, wanaendelea kuulizwa swali la msingi na Kristo Yesu ikiwa kama wanampenda Kristo katika Sala, Neno la Mungu, Sakramenti za Kanisa na Mafundisho Tanzu sanjari na sadaka ya maisha inayotolewa kwa ajili ya wokovu wa watu wa Mungu!

 

Matunda ya Jubilei ya Mwaka wa Padre Tanzania yaanza kuoneka hadharani!

Matunda ya Mwaka wa Padre Tanzania yaanza kuonekana hadharani!

Matunda ya Mwaka wa Padre Tanzania!

07/07/2017 16:58

Kanisa Katoliki nchini Tanzania linaendelea kumwimbia Mwenyezi Mungu utenzi wa sifa na shukrani kwa kulizawadia watenda kazi katika shamba la Bwana kutoka katika majimbo na mashirika ya kitawa na kazi za kitume, tayari kujisadaka bila ya kujibakiza kwa ajili ya kuwahudumia watu wa Mungu!

Askofu Michael Msonganzila wa Jimbo Katoliki Musoma, leo anapembua ukuaji wa Kanisa mahalia, Jimbo la Musoma, Tanzania.

Askofu Michael Msonganzila wa Jimbo Katoliki Musoma, katika Barua yake ya Kichungaji Upendo kwa Utume, leo anapembua ukuaji wa Kanisa mahali, Jimbo Katoiki Musoma.

Kanisa Mahalia Jimbo la Musoma, Tanzania

06/07/2017 15:39

Askofu Michael Msonganzila wa Jimbo Katoliki Musoma, Tanzania katika Barua yake ya kichungaji Upendo kwa Utume anapembua kuhusu harakati za uinjilishaji Tanzania Bara mintarafu historia, ukuaji wa Kanisa mahalia, Jimbo Katoliki Musoma na mwishoni ni maadhimisho ya Jubilei hizi.

Mwaka wa Padre nchini Tanzania ni fursa ya kutafakari maisha na wito wa Kipadre!

Mwaka wa Padre nchini Tanzania ni fursa ya kutafakari maisha na utume wa Padre kwa Kanisa la Tanzania.

Mapadre: Wito na maisha yenu yamehifadhiwa kwenye chombo cha udongo!

05/07/2017 16:43

Maadhimisho ya Jubilei ya Mwaka wa Padre nchini Tanzania iwe ni fursa kwa Mapadre kufanya tafakari ya kina kuhusu maisha na wito wao wa Kipadre, ili kweli maadhimisho haya yaweze kuwa ni kipindi cha toba na wongofu wa ndani, wakati wa shukrani na kuomba neema ya kusonga mbele kwa matumaini.