Mitandao ya kijamii:

RSS:

Radio Vatican

Sauti ya Papa na Kanisa katika majadiliano na ulimwengu

Lugha:

Daraja la Ushemasi

Kardinali Polycarp Pengo anawataka waamini lakini zaidi wakleri kutekeleza mapenzi ya Mungu katika maisha na utume wao.

Kardinali Polycarp Pengo anawataka waamini, lakini zaidi wakleri kutekeleza mapenzi ya Mungu katika maisha yao.

Kardinali Pengo: Jitahidini kutekeleza mapenzi ya Mungu katika maisha

11/01/2018 16:35

Kardinali Polycarp Pengo, Askofu mkuu wa Jimbo Kuu la Dar es Salaam anawataka waamini, lakini kwa namna ya pekee kabisa Wakleri kuhakikisha kwamba, wanajitahidi kutekeleza mapenzi ya Mungu katika maisha na utume wao, vinginevyo wanaweza kujikuta wakiogelea kwenye dimbwi la maafa!

 

Askofu mkuu Rugambwa: Mashemasi wapya jiandaeni vyema kwa kujikita katika huduma na utakatifu wa maisha!

Askofu mkuu Rugambwa: Mashemasi wapya jiandaeni vyema kupokea Daraja ya Upadre kwa kujikita katika huduma makini na utakatifu wa maisha!

Mashemasi wapya! Kazeni buti ndo kwanza kumekucha!

16/05/2017 14:46

Mashemasi wapya wametakiwa kuendelea kujizatiti zaidi katika maisha na utume wao, huku wakiandaa kikamilifu kwa ajili ya kupokea Daraja ya Upadre na kamwe wasidhani kwamba, kwa kupata Ushemasi, basi mambo yamemalizika! Mashemasi waendelee kujizatiti katika huduma na utakatifu wa maisha!

Shemasi Charles Kato Rubaza ni jembe jipya kutoka Jimbo Katoliki la Geita, Tanzania aliyepewa Daraja ya Ushemasi, tarehe 13 Mei 2017.

Shemasi Charles Kato Rubaza ni "jembe" jipya kutoka Jimbo Katoliki la Geita, aliyepewa Daraja ya Ushemasi, tarehe 13 Mei 2017.

Shemasi Charles Kato Rubaza ni "Jembe" jipya kutoka Jimbo la Geita!

16/05/2017 11:39

Shemasi Charles Kato Rubaza wa Jimbo Katoliki Geita katika mahojiano maalum na Radio Vatican anasema, tangu mwanzo kabisa wa maisha yake, alivutwa na Ibada ya Misa Takatifu, mbegu ambayo imeendelea kupaliliwa na hatimaye kuanza kuzaa matunda ya Ushemasi wa mpito kwa sasa!