Mitandao ya kijamii:

RSS:

Radio Vatican

Sauti ya Papa na Kanisa katika majadiliano na ulimwengu

Lugha:

Damasko

Mkuu wa Shirika la Wasalesian amefanya ziara yake huko Damasko kuwatia moyo  na matumaini watu hawa kutokana mateso ya kivita

Mkuu wa Shirika la Wasalesian amefanya ziara yake huko Damasko kuwatia moyo na matumaini watu hawa kutokana mateso ya kivita

Mkuu wa Shirika la Don Bosco, Padre Fernandes kutembelea Damasko!

11/04/2018 12:23

Mkuu wa shirika la Don Bosco,Padre Angel Fernandes Artime amefanya ziara yake mji wa kale Damasko ili kuwatia moyo,furaha na matumaini watu walio jeruhiwa zaidi ya miaka 7 ya vita. Akisindikizwa na Vijana wa Shirika lake,wamepitia barabara aliyopitia Mt. Paulo hadi kuingia Kanisa la Mt.Anania

Balozi wa Kitume huko Damasko Mario Zenari ameelezea Sikukuu ya Mama Maria kupalizwa mbinguni

Balozi wa Kitume huko Damasko Mario Zenari ameelezea Sikukuu ya Mama Maria kupalizwa mbinguni

Sikukuu ya Kupalizwa mbinguni Mama Maria kuadhimishwa na imani

17/08/2017 09:49

Habari zaidi ni kutoka kwa Balozi wa Kitume huko Damasko,Kardinali Mario Zenari amewambia vyombo vya habari kuwa sikukuu ya kupalizwa mbinguni katika Makanisa ya Mashariki ikiwa wengi ni wakatoliki wa kiorthodox wameadhimisha vizuri na wanaitambua kama sikukuu ya  kulala usingizi Maria