Mitandao ya kijamii:

RSS:

Radio Vatican

Sauti ya Papa na Kanisa katika majadiliano na ulimwengu

Lugha:

Chuo Kikuu: maabara, majadiliano & ukweli

Papa Francisko: Chuo kikuu ni maabara ya majadiliano, huduma ya ukweli, haki, ulinzi na tunza ya utu na heshima ya binadamu katika hatua zote.

Papa Francisko: Chuo kikuu ni maabara ya majadiliano, mahali pa kukutana katika huduma ya ukweli, haki, ulinzi na tunza makini ya utu na heshima ya binadamu katika kila hatua.

Chuo kikuu ni maabara ya majadiliano, huduma, ukweli, haki na utu!

14/04/2018 15:24

Baba Mtakatifu Francisko anasema, vyuo vikuu kwa asili yake, vinapaswa kuwa ni maabara ya majadiliano, mahali pa watu kukutana katika huduma ya ukweli, haki, ulinzi na tunza makini ya utu na heshima ya binadamu katika kila hatua ya maisha yake. Ni mahali pa kutafuta na kuambata ukweli wa maisha!