Mitandao ya kijamii:

RSS:

Radio Vatican

Sauti ya Papa na Kanisa katika majadiliano na ulimwengu

Lugha:

Chuo Kikuu cha Villanova, Philadelphia, USA.

Chuo kikuu cha Kikatoliki cha Moyo Mtakatifu wa Yesu, Milano: Warithi na wagunduzi. Vijana ni wadau wa historia.

Chuo Kikuu cha Kikatoliki cha Moyo Mtakatifu wa Yesu, Sacro Cuore cha Milano: warithi na wagunduzi. Vijana ni wadau wa historia.

Vyuo vikuu vina dhamana ya malezi na majiundo makini ya vijana

16/04/2018 10:16

Vijana wanaweza kuwa wagunduzi na watu wanaotumia vyema maendeleo ya sayansi na teknolojia kwa ajili ya ustawi na maendeleo ya binadamu aliyeumbwa kwa sura na mfano wa Mungu ikiwa kama watazingatia: ukweli, uzuri, majadiliano, mema na mazuri kutoka kwa jirani zao!

Papa Francisko: Chuo kikuu ni maabara ya majadiliano, huduma ya ukweli, haki, ulinzi na tunza ya utu na heshima ya binadamu katika hatua zote.

Papa Francisko: Chuo kikuu ni maabara ya majadiliano, mahali pa kukutana katika huduma ya ukweli, haki, ulinzi na tunza makini ya utu na heshima ya binadamu katika kila hatua.

Chuo kikuu ni maabara ya majadiliano, huduma, ukweli, haki na utu!

14/04/2018 15:24

Baba Mtakatifu Francisko anasema, vyuo vikuu kwa asili yake, vinapaswa kuwa ni maabara ya majadiliano, mahali pa watu kukutana katika huduma ya ukweli, haki, ulinzi na tunza makini ya utu na heshima ya binadamu katika kila hatua ya maisha yake. Ni mahali pa kutafuta na kuambata ukweli wa maisha!