Mitandao ya kijamii:

RSS:

Radio Vatican

Sauti ya Papa na Kanisa katika majadiliano na ulimwengu

Lugha:

Chuo Kikuu cha Mtakatifu Augustino Tanzania

Askofu Gervas John Mwasikwabhila Nyaisonga amechaguliwa kuwa Rais wa Baraza la Maaskofu Katoliki Tanzania.

Askofu Gervas John Mwasikwabhila Nyaisonga amechaguliwa kuwa Rais mpya wa Baraza la Maaskofu Katoliki Tanzania; Askofu Flavian Matindi Kassala, Makamu wa Rais na Padre Charles Kitima, Katibu mkuu wa Baraza la Maaskofu Katoliki Tanzania.

Baraza la Maaskofu Katoliki Tanzania lapata sululu mpya za uongozi

25/06/2018 14:30

Baraza la Maaskofu Katoliki Tanzania limemchangua Askofu Gervas John Mwasikhabhila Nyaisonga kuwa Rais mpya wa Baraza la Maaskofu Katoliki Tanzania, Askofu Flavian Matindi Kassala, Makamu wa Rais na Padre Charles Kitima, Katibu mkuu wa Baraza! Hapa kazi imeanza kweli kweli!

Papa Francisko amemteuwa Mheshimiwa sana Padre Anthony Lagwen kuwa Askofu mpya wa Jimbo Katoliki la Mbulu, Tanzania.

Papa Francisko amemteua Mheshimiwa Sana Padre Anthony Lagwen kuwa Askofu mpya wa Jimbo Katoliki la Mbulu, Tanzania.

Mh. Pd. Anthony Lagwen ateuliwa kuwa Askofu Jimbo Katoliki la Mbulu

22/05/2018 11:30

Baba Mtakatifu Francisko amemteua Mheshimiwa sana Padrwe Anthony Lagwen aliyezaliwa kunako mwaka 1967 huko Tlawi, Jimbo Katoliki la Mbulu na Kupadrishwa mwaka 1999 kuwa Askofu Askofu mpya wa Jimbo Katoliki la Mbulu nchini Tanzania. Yaani hadi raha!