Mitandao ya kijamii:

RSS:

Radio Vatican

Sauti ya Papa na Kanisa katika majadiliano na ulimwengu

Lugha:

Chuo Kikuu cha Kikatoliki Chile

Papa Francisko anasema Chuo Kikuu ni mahali pa kukuza na kudumisha mchakato wa mabadiliko unaofumbatwa katika majadiliano na watu kukutana!

Papa Francisko anasema, Chuo Kikuu kinapaswa kuwa ni sehemu ya mchakato wa mabadiliko yanayofumbatwa katika majadiliano ya dhana ya watu kukutana.

Papa: Dhamana ya Chuo Kikuu ni kufundisha, kufikiri na kutenda

18/01/2018 08:36

Baba Mtakatifu Francisko anasema, Chuo Kikuu ni mahali ambapo watu wanajifunza kufikiri na kutenda kama sehemu ya mchakato endelevu wa maisha ya mwanadamu. Chuo Kikuu kinapaswa kuwa ni sehemu ya mchakato wa mabadiliko yanayofumbatwa katika majadiliano na utamaduni wa watu kukutana!

Papa Francisko katika hija yake ya kitume nchini Chile atakutana na matumaini na madonda ya wananchi wa Chile wanaopaswa kutangaziwa amani.

Papa Francisko wakati wa hija yake ya kitume nchini Chile anatarajiwa kukutana na matumaini ya wananchi pamoja na madonda yao ya ndani yanayopaswa kugangwa na kuponywa kwa njia ya Injili ya amani.

Matumaini na madonda ya watu wa Chile yanayomsubiri Papa Francisko

13/01/2018 14:13

Kardinali Ricardo Ezzati Andrello, Askofu mkuu wa Jimbo Kuu la Santiago, Chile anasema, familia ya Mungu nchini mwake ina shauku, hamu na matumaini kubwa ya kukutana na Papa Francisko wanataka pia kumshirikisha madonda na mipasuko yao ya kijamii, ili hatimaye kujenga na kudumisha amani!

Amani yangu nawapa ndiyo kauli mbiu inayoongoza hija ya Papa Francisko nchini Chile kuanzia tarehe 15- 18 Januari 2018.

Amani yangu nawapa ndiyo kauli mbiu inayoongoza hija ya kitume ya Baba Mtakatifu Francisko nchini Chile kuanzia tarehe 15 - 18 Januari 2018.

Ratiba elekezi ya Baba Mtakatifu Francisko nchini Chile!

12/01/2018 15:06

Amani yangu nawapa ndiyo kauli mbiu iliyochaguliwa na familia ya Mungu nchini Chile wakati wa hija ya kitume ya Baba Mtakatifu Francisko nchini humo kuanzia tarehe 15 hadi tarehe 18 Januari 2018. Baba Mtakatifu atapata nafasi ya kusali, kukutana na kuzungumza na familia ya Mungu nchini Chile.