Mitandao ya kijamii:

RSS:

Radio Vatican

Sauti ya Papa na Kanisa katika majadiliano na ulimwengu

Lugha:

Chuo kikuu cha Gregoriani

Papa Mstaafu Benedikto XVI ametuma ujumbe kwa wawakilishi wa Mkutano wa Kimataifa juu ya Deus Summe CognoscribilisTaalimungu ya Mtakatifu Bonaventura

Papa Mstaafu Benedikto XVI ametuma ujumbe kwa wawakilishi wa Mkutano wa Kimataifa juu ya Deus Summe Cognoscribilis, Taalimungu ya Mtakatifu Bonaventura kwa nyakati za sasa

Ujumbe wa Papa Mstaafu Benedikto XVI kwa Mkutano wa Kimataifa

16/11/2017 16:52

Nikitazama ratiba ya Mkutano na mada zilizotolewa, ninatambua jinsi gani sura ya Mtakatifu Bonaventura kwa wakati huu imekuwa na utajiri mkubwa na jinsi gani yeye bado anayo mambo muhimu zaidi ya kihistoria ya kuweza  kutufundisha.Ni maandishi ya Baba Mtakatifu mstaafu Benedikto wa XVI 

 

Pamoja na utume unaotolewa na Chuo Kikuu cha Gregoriani na Taasisi ya Biblia, Baba Mtakatifu anasisitiza kuwa, kuna hata Taasisi ya Mashariki

Pamoja na utume unaotolewa na Chuo Kikuu cha Gregoriana na Taasisi ya Biblia, Baba Mtakatifu anasisitiza kuwa, kuna hata Taasisi ya Mashariki

Ujumbe wa Papa kwa Miaka 100 ya Baraza la Kipapa kwa Makanisa ya Mashariki

12/10/2017 15:36

Pamoja na utume unaotolewa na Chuo Kikuu cha Gregoriani naTaasisi ya Biblia,Baba Mtakatifu anasisitiza kuna hata Taasisi ya Mashariki inapaswa kutambuliwa kwa wote.Kuna umuhimu wa kuhakikisha Taasisi inakuwa thabiti kwa walezi wa Kiyesuit kwa kuwasadia katika malezi yao

 

 

 Kizazi hiki cha vijana ni zaidi ya milioni 800 ambao wanaonekana kuwa hatari ya kuwathirika na matumizi mabaya ya dunia ya digital

Kizazi hiki cha vijana ni zaidi ya milioni 800 ambao wanaonekana kuwa hatari ya kuwathirika na matumizi mabaya ya dunia ya digital na chanzo cha waathirka wengi wa kijinsia

Mkutano wa Kimataifa kuhusu Hadhi ya Mtoto katika Dunia ya Digital 3-6Okt

22/09/2017 14:59

 “Hadhi ya Mtoto katika Dunia ya Digital ni Mada ya Mkutano wa Kimataifa utakaofanyika kuanzia tarehe 3-6 Octoba 2017 ulio andaliwa na Kituo cha Ulinzi wa watoto katika Chuo Kikuu cha Kipapa cha Gregoriana Roma.Na Watoto na vijana wanaunda robo ya bilioni 3.2 ya watumiaji wa internet duniani.

 

Kanisa linaendelea kuwekeza katika majiundo makini kama sehemu ya mapambano dhidi ya nyanyaso za kijinsia kwa watoto wadogo.

Kanisa linaendelea kuwekeza katika majiundo makini kiutu na kimaadili kama njia ya kupambana na nyanyaso za kijinsia dhidi ya watoto wadogo.

Njia za kisayansi katika mapambano dhidi ya nyanyaso za kijinsia!

14/06/2016 15:03

Baba Mtakatifu Francisko anatambua na kuthamini juhudi zinazofanywa na Chuo kikuu cha Kipapa cha Gregoriani kwa ajili ya kuwaandaa watalaam wanakaosaidia sera na mikakati ya Kanisa ya kupambana na kuponya madonda ya nyanyaso za kijinsia dhidi ya watoto wadogo. 

 

Useja ni zawadi ya Kristo kwa Kanisa kwa ajili ya huduma na utume!

Useja ni zawadi ya Kristo kwa Kanisa lake kwa ajili ya huduma na utume kwa familia ya Mungu.

Useja ni zawadi inayopokelewa, inatunzwa na kudumishwa!

06/02/2016 16:56

Kardinali Pietro Parolin, katibu mkuu wa Vatican anakumbusha kwamba, useja ni zawadi inayopaswa kupokelewa kwa moyo mkuu, kutunzwa kwa uaminifu na kudumishwa kwa njia ya sala, tafakari na mahusiano yenye mashiko na mguso kwa ajili ya utume kwa Kristo na Kanisa lake!

 

Baba Mtakatifu Francisko akiwa na wajumbe wa mkutano wa Romano Guardini

Baba Mtakatifu Francisko akiwa na wajumbe wa mkutano wa Romano Guardini.

Ninyi mliobahatika kuwa na utajiri waonjesheni wakimbizi na wahamiaji upendo!

13/11/2015 14:52

Bara la Ulaya limebahatika kuwa na utajiri mkubwa wa hali na mali, kwa sasa linachangamotishwa na Mama Kanisa kuhakikisha kwamba, linatumia utajiri huu kuwasaidia na kuwahudumia wakimbizi na wahamiaji wanaotafuta usalama wa maisha yao Barani Ulaya. 

 

Vita daima imekuwa ni mama wa umaskini na majanga katika maisha ya binadamu

Vita daima imekuwa ni mama wa umaskini na chabnzo cha majanga na maafa kwa binadamu.

Wafundeni vijana kukumbatia utamaduni wa amani na utulivu!

29/10/2015 07:47

Kardinali Pietro Parolin, Katibu mkuu wa Vatican katika tafakari yake kama sehemu ya maadhimisho ya Miaka 50 ya Tamko la Nostra Aetate, analitaka Kanisa na Jumuiya ya Kimataifa katika ujumla wake kuwekeza katika majiundo makini ya amani kwa vijana wa kizazi kipya!

 

Jubilei ya miaka 50 ya Majadiliano ya kidini

Jubilei ya miaka 50 ya Majadiliano ya kidini.

Jubilei ya miaka 50 ya Tamko la Majadiliano ya kidini!

27/10/2015 11:49

Mama Kanisa tarehe 28 Oktoba 2015 anaadhimisha Jubilei ya miaka 50 tangu Mababa wa Mtaguso mkuu wa Pili wa Vatican walipochapisha Waraka wa Nostra Aetate unaojielekeza zaidi katika majadiliano ya kidini na waamini wa dini mbali mbali ili kujenga:amani, umoja, upendo na mshikamano wa kimataifa