Mitandao ya kijamii:

RSS:

Radio Vatican

Sauti ya Papa na Kanisa katika majadiliano na ulimwengu

Lugha:

Chuo Kikuu cha Al-Azhar

Hivi karibuni viongozi wa kidini walifanya mkutano wa kimataifa kupinga uamuzi wa Marekani kuhamishia Ubalozi wake mjini Yerusalemu.

Hivi karibuni, viongozi wa kidini wakifanya mkutano wa kimataifa kupinga uamuzi wa Serikali ya Marekani kuhamishia Ubalozi wake mjini Yerusalemu.

Papa Francisko: Tambueni: Utakatifu, Asili na Ukuu wa Yerusalemu!

26/01/2018 08:13

Baba Mtakatifu Francisko anasema, kuna haja kwa viongozi wa kimataifa na vyama vya kiraia kuheshimu na kuthamini: Utakatifu, Asili na Tunu msingi za Mji wa Yerusalemu unaothaminiwa na waamini wa dini mbali mbali duniani kama kitovu cha amani, utulivu, upatanisho na majadiliano ya kidini!