Mitandao ya kijamii:

RSS:

Radio Vatican

Sauti ya Papa na Kanisa katika majadiliano na ulimwengu

Lugha:

Chama cha A.N.C cha Afrika ya Kusini

Baraza la Maaskofu Katoliki Afrika ya Kusini linamwomba Rais Zuma kung'atuka madarakani kwa ajili ya mafao ya umma.

Baraza la Maaskofu Katoliki Afrika ya Kusini lina mshauri rais Jacob Zuma kufanya maamuzi magumu ya kung'atuka kutoka madarakani kwa ajili ya mafao ya umma kwani kwa sasa hali ni tete sana nchini Afrika ya Kusini.

Rushwa na ufisadi vinawapekenya sana wananchi wa Afrika ya Kusini

10/02/2018 17:26

Baraza la Maaskofu Katoliki Afrika ya Kusini linasema kwamba, hali kwa sasa ni tete sana Afrika ya Kusini kutokana na kashfa pamoja na tuhuma mbali mbali hasa kuhusiana na rushwa na ufisadi wa mali ya umma zinazomwandama Rais Jacob Zuma, kiasi cha wananchi wengi kukosa imani naye!

Papa Francisko, tarehe 3 Juni 2017 amepokea hati za utambulisho kutoka kwa Balozi George Johannes wa Afrika ya Kusini, Balozi mkazi wa kwanza!

Papa Francisko, tarehe 3 Juni 2017 amepokea hati za utambulisho kutoka kwa Balozi George Johannes wa Afrika ya Kusini anayekuwa Balozi mkazi wa kwanza kutoka Afrika ya Kusini.

Balozi George Johannes awasilisha hati za utambulisho mjini Vatican

03/06/2017 14:07

Baba Mtakatifu Francisko, Jumamosi, tarehe 3 Juni 2017 amepokea hati za utambulisho kutoka kwa Mheshimiwa George Johannes kutoka nchini Afrika ya Kusini. Mheshimiwa Johannes anakuwa ni Balozi mkazi wa kwanza kutoka nchini Afrika ya Kusini!

 

Rushwa, ufisadi, ukosefu wa ajira na hali mbaya ya uchumi imewafanya wananchi wengi wa Afrika ya Kusini kutoridhika na uongozi wa Rais Jacob Zuma.

Rushwa, ufisadi, ukosefu wa fursa za ajira hasa miongoni mwa vijana wa kizazi kipya na utawala mbaya ni kati ya mambo ambayo yamewachefua sana wananchi wa Afrika ya Kusini kiasi cha kuonesha kutokuwa na imani tena na Rais Zuma.

Bunge Afrika ya Kusini kupiga kura ya kutokuwa na imani na Rais Zuma

20/04/2017 07:38

Hali tete ya kisiasa nchini Afrika ya Kusini imeingia katika awamu mpya baada ya wabunge kuridhia mchakato wa kupiga kura ya kutokuwa na imani na Rais Jacob Zuma kutokana na kuandamwa mno na kashfa, ufisadi na utawala mbaya hali ambayo imepelekea maandamano ya wananchi wengi Afrika ya Kusini.