Mitandao ya kijamii:

RSS:

Radio Vatican

Sauti ya Papa na Kanisa katika majadiliano na ulimwengu

Lugha:

Caritas Yerusalemu

Papa ametoa wito kwa ajili ya Yerusalem, mji Mtakatifu wa Wayahudi,Wakristo na Waislam

Papa ametoa wito kwa ajili ya Yerusalem, mji Mtakatifu wa Wayahudi,Wakristo na Waislam

Papa:Wito kwa ajili ya Yerusalem,mji Mtakatifu wa Wayahudi,Wakristo na Waislam

06/12/2017 16:13

Baba anasema, Yerusalem ni mji mmoja mtakatifu kwa ajili ya wahahudi, wakristo na waislam, wakiheshimu maeneo Matakatifu kulingana na dini zao.Na wito maalumu wa ajili ya amani kwa njia hiyo,anaomba Bwana Mungu ili utambulisho huo uweze kutunzwa na kulindwa kwa ajili ya wema wa nchi Takatifu 

 

Sakramenti ya Upatanisho ipewe kipaumbele cha kwanza wakati wa Jubilei ya huruma ya Mungu.

Sakramenti ya Upatanisho ipewe kipaumbele cha kwanza wakati wa maadhimisho ya Mwaka Mtakatifu wa Jubilei ya huruma ya Mungu.

Sakramenti ya Upatanisho ipewe kipaumbele cha kwanza wakati wa Jubilei

06/11/2015 10:40

Viongozi wakuu wa Kanisa Katoliki huko Nchi Takatifu wanawataka Mapadre kuhakikisha kwamba wanatoa kipaumbele cha pekee kwa waamini wanaotaka kujipatanisha na Mungu pamoja na jirani zao kwa njia ya Sakramenti ya upatanisho wakati waamini wakifanya hija za maisha ya kiroho!.