Mitandao ya kijamii:

RSS:

Radio Vatican

Sauti ya Papa na Kanisa katika majadiliano na ulimwengu

Lugha:

Caritas: Kampeni ya Kimataifa: Shiriki safari

Papa Francisko anawaalika waamini na wadau mbali mbali kuwa na mtazamo uliopyaisha kuhusu wakimbizi na wahamiaji  ili kuejenda udugu na mshikamano.

Papa Francisko anawaalika waamini pamoja na watu mbali mbali kuwa na mtazamo uliopyaishwa ili kujenga na kudumisha umoja, upendo na mshikamano na wakimbizi pamoja na wahamiaji.

Mshikamano wa upendo na udugu kwa wakimbizi na wahamiaji!

20/06/2018 15:30

Baba Mtakatifu Francisko analipongeza Shirikisho la Mashirika ya Misaada ya Kanisa Katoliki Kimataifa, Caritas Internationalis kwa kuendesha kampeni inayopania kuragibisha haki msingi za wakimbizi na wahamiaji katika ngazi ya kimataifa. Lengo ni kujenga na kudumisha mtazamo uliopyaishwa!

Tarehe 11 Juni 2018 Malta na Italia, zimewatakaa wakimbizi na wahamiaji 620 waliopewa hifadhi baadaye nchini Hispania.

Tarehe 11 Juni 2018 Malta na Italia ziliwakataa wakimbizi na wahamiaji 620 waliokuwa wanahofiwa kufa maji na baadaye Hispania imetoa hifadhi kwa wakimbizi na wahamiaji hawa.

Caritas Internationalis: Shiriki safari na wakimbizi kwa ukarimu!

12/06/2018 11:00

Shirikisho la Mashirika ya Misaada ya Kanisa Katoliki Kimataifa, Caritas Internationalis linasema, changamoto, fursa na matatizo yaliyoibuliwa na wimbi kubwa la wakimbizi na wahamiaji linapaswa kushughulikiwa kwa moyo ya upendo na ukarimu ili kuondokana na ubinafsi pamoja na maamuzi mbele!

Caritas Internationalis inawaalika waamini pamoja na watu wote wenye mapenzi mema kushiriki katika safari ya matumaini ya wakimbizi na wahamiaji.

Caritas Internationalis inawaalika waamini pamoja na watu wote wenye mapenzi mema kushiriki katika safari ya matumaini ya wakimbizi, wahamiaji na watu wanaotafuta hifadhi ya kisiasa.

Caritas Internationalis: 17-24 Juni 2018 Juma la Upendo kwa vitendo

14/05/2018 12:05

Baba Mtakatifuf Francisko mwezi Septemba 2017 alizundua rasmi kampeni ya kimataifa ya ukarimu kwa wakimbizi, wahamiaji na watu wanaotafuta hifadhi ya kisiasa inayoongozwa na kauli mbiu "Share the journey" yaani "Shiriki safari" kama kielelezo cha kumwilisha fadhila ya upendo katika maisha!

Maadhimisho ya Fumbo la Pasaka ni fursa ya kujenga na kudumisha umoja, udugu na mshikamano wa upendo na watu wanaoteseka.

Maadhimisho ya Fumbo la Pasaka ni fursa na mwaliko wa kujenga na kudumisha umoja, upendo na mshikamano na maskini pamoja na watu wanaoteseka sehemu mbali mbali za dunia.

Fumbo la Pasaka ni fursa ya kushuhudia mshikamano wa upendo na udugu

09/04/2018 08:56

Baba Mtakatifu Francisko mwezi Septemba 2017 alizindua kampeni ya kimataifa ya ukarimu kwa wakimbizi na wahamiaji sehemu mbali mbali za dunia, inayosimamiwa na kuratibiwa na Caritas Internationalis kwa kuongozwa na kauli mbiu "Share the journey" yaani "Shiriki safari", kielelezo cha ukarimu!

Baraza la Maaskofu Katoliki Marekani linawaalika waamini kushiriki safari ya mateso na matumaini ya wakimbizi na wahamiaji duniani!

Baraza la Maaskofu Katoliki Marekani linawaalika waamini na watu wenye mapenzi mema kushiriki katika mateso na matumaini ya wakimbizi na wahamiaji duniani.

Waamini onjeni mateso na matumaini ya wakimbizi na wahamiaji duniani!

11/01/2018 15:43

Baraza la Maaskofu Katoliki Marekani, kuanzia tarehe 03 hadi 13 januari 2018 linaadhimisha Juma la Wakimbizi na Wahamiaji nchini humo kwa kuongozwa na mwaliko kwa waamini na watu wote wenye mapenzi mema kushiriki kikamilifu katika mateso na matumaini ya wakimbizi na wahamiaji duniani!

Papa Francisko amezindua kampeni ya "Shiriki safari" na wakimbizi na wahamiaji duniani.

Papa Francisko amezindua kampeni ya Caritas Internationalis "Shiriki safari" pamoja na wakimbizi.

Papa Francisko azindua kampeni ya "Shiriki safari" na wahamiaji

28/09/2017 10:33

Shirikisho la Mashirika ya Misaada ya Kanisa Katoliki Kimataifa limezindua kampeni ya upendo na ukarimu kwa wahamiaji na wakimbizi sehemu mbali mbali za dunia, ili kuonesha upendo na mshikamano; kusimamia haki msingi za wakimbizi na wahamiaji pamoja na kulinda utu na heshima yao kama binadamu!