Askofu mkuu Martin Musonde Kivuva wa Jimbo kuu la Mombasa katika mahojiano na Radio Vatican ambayo kwa sasa inatambulikana kama "Vatican News" anachambua asili ya Kanisa kama chombo muhimu sana cha huduma mintarafu mchakato wa maendeleo endelevu ya binadamu: kiroho na kimwili!
Wananchi wamechoka kwa vita wanataka amani, ustawi, maendeleo na mafao ya wengi Jamhuri ya watu wa Afrika ya Kati.
Kardinali Nzapailanga anasema, familia ya Mungu nchini Jamhuri ya Watu wa Afrika ya Kati baada ya vita ya wenyewe kwa wenyewe sasa inataka kuwekeza zaidi katika elimu makini na endelevu; huduma ya upendo katika sekta ya afya, ili kuwajengea uwezo wananchi kushiriki katika hatima ya maisha yao!
Caritas Africa katika Tamko la Dakar, Senegal, 2017 inasema, itaendelea kutoa huduma ya maendeleo endelevu ya binadamu Barani Afrika.
Caritas Africa katika Tamko la Dakar la Mwaka 2017 inasema, itaendelea kujikita katika mchakato wa kumwilisha upendo wa Mungu katika huduma makini ya maendeleo endelevu ya binadamu kwani upendo wa Mungu ni kiini cha maisha na utume wa Kanisa. Upendo wa binadamu utimilifu katika upendo wa Mungu.
Mitandao ya kijamii: