Mitandao ya kijamii:

RSS:

Radio Vatican

Sauti ya Papa na Kanisa katika majadiliano na ulimwengu

Lugha:

Caritas Africa

Caritas Africa inapenda kujielekeza zaidi katika huduma ya maendeleo endelevu ya binadamu kama asili na utambulisho wa Kanisa

Caritas Africa inapenda kujielekeza katika mchakato wa huduma makini na endelevu kama asili na utambulisho wa Kanisa kati ya Watu wa Mataifa.

Caritas Africa mintarafu asili ya Kanisa na huduma endelevu!

27/12/2017 07:32

Askofu mkuu Martin Musonde Kivuva wa Jimbo kuu la Mombasa katika mahojiano na Radio Vatican ambayo kwa sasa inatambulikana kama "Vatican News" anachambua asili ya Kanisa kama chombo muhimu sana cha huduma mintarafu mchakato wa maendeleo endelevu ya binadamu: kiroho na kimwili!

Mkataba usio na malipo wa hospitali ya Mtakatifu Camillo na Jumuiya ya Mt. Egidio, ni habari njema kwa maelfu ya wagonjwa kutoka Afrika

Mkataba usio na malipo wa hospitali ya Mtakatifu Camillo na Jumuiya ya Mt. Egidio, ni habari njema kwa maelfu ya wagonjwa kutoka Afrika na pia Afrika yenyewe

Sahini ya Jumuiya ya Mt.Egidio na Hospitali ya Mt. Camillo wa ajili ya Afrika

07/10/2017 14:14

Sahini ya Jumuiya ya Mt.Egidio na Hospitali ya Mt. Camillo kwa ajili ya Afrika, ni mkataba usio na malipo kwa maelfu ya wagonjwa kutoka Afrika.Wataweza kwenda kupata ushauri wa kiafya  kwa ngazi ya juu na hata katika hali ngumu ya umasikini au ukosefu wa  zana kwa ajili ya utafiti zaidi wa afya.

 

Caritas Africa katika Tamko la Dakar, Senegal 2017 inasema itaendelea kujizatiti katika huduma ya maendeleo endelevu ya binadamu Afrika.

Caritas Africa katika Tamko la Dakar, Senegal, 2017 inasema, itaendelea kutoa huduma ya maendeleo endelevu ya binadamu Barani Afrika.

Caritas Africa: Tamko la Dakar, Senegal, 2017

25/09/2017 08:48

Caritas Africa katika Tamko la Dakar la Mwaka 2017 inasema, itaendelea kujikita katika mchakato wa kumwilisha upendo wa Mungu katika huduma makini ya maendeleo endelevu ya binadamu kwani upendo wa Mungu ni kiini cha maisha na utume wa Kanisa. Upendo wa binadamu utimilifu katika upendo wa Mungu.

Huduma ya upendo ni asili ya Kanisa inaqyojikita katika mchakato wa maendeleo endelevu ya binadamu.

Huduma ya upendo ni asili ya Kanisa inayojikita katika mchakato wa maendeleo endelevu ya binadamu.

Caritas Africa: Huduma ya upendo Barani Afrika

16/09/2017 13:26

Huduma ya upendo ni asili ya Kanisa na Maendeleo Endelevu ya Binadamu ni nyaraka kuu mbili zilizotolewa na Papa Mtsaafu Benedikto XVI na Baba Mtakatifu Francisko kwa ajili ya ustawi, maendeleo na mafao ya wengi zinazofanyiwa na Caritas Africa katika mkutano wake huko Dakar, Senegal, 2017.