Mitandao ya kijamii:

RSS:

Radio Vatican

Sauti ya Papa na Kanisa katika majadiliano na ulimwengu

Lugha:

Card. Kevin Joseph Farrel

Papa Francisko ametuma barua kwa Kard Farrell kuhusiana na Waraka uliotolewa wa Kujitoa kikamilifu kwa mantiki ya mchezo katika maisha

Papa Francisko ametuma barua kwa Kard Farrell kuhusiana na Waraka uliotolewa wa Kujitoa kikamilifu kwa mantiki ya mchezo katika maisha

Barua ya Papa kwa Kard. Farrell juu ya Waraka wa Kujitoa kikamilifu

01/06/2018 16:30

Tarehe 1 Juni 2018 katika kumbukumbu ya Mtakatifu Justini, Baba Mtakatifu Francisko ametuma barua kwa Kardinali Farrell Mwenyekiti wa Baraza la Kipapa kwa ajili ya Walei,Familia na Maisha kufuatia fursa ya kutolewa kwa Waraka wa kujitoa kikamilifu unaohusu mantiki ya ukristo katika mchezo!

Tarehe 4-5 Mei imefanyika semina juu ya kuelimisha vijana katika mwanga Wosia wa Baba Mtakatifu wa Furaha ya Upendo ndani ya Familia

Tarehe 4-5 Mei imefanyika semina juu ya kuelimisha vijana katika mwanga Wosia wa Baba Mtakatifu wa Furaha ya Upendo ndani ya Familia

Semina juu ya kuelimisha vijana katika mwanga wa Amoris Laetitia!

14/05/2018 15:43

Th.4-5 Mei 2018 imefanyika semina ya pili  kimataifa ya mtandao wa wataalam ambao wanajifunza na tafiti za elimu kwa mantiki ya kihisia na  kijinsia.Semina imeandaliwa na Baraza la Kipapa la Walei,Familia na Maisha kwa kuongozwa na mada ya Kuelimisha vijana katika mwanga wa Amoris Laetitia

Baba Mtakatifu Francisko amewatumia vijana wa Canada ujumbe kwa njia ya video

Baba Mtakatifu Francisko amewatumia vijana wa Canada ujumbe kwa njia ya video

Papa:Ujumbe wa Baba Mtakatifu kwa njia ya Video kwa Vijana wa Canada

24/10/2017 09:46

Baba Mtakatifu Francisko amewatumia ujumbe Vijana wote wa Canada kwa njia ya Video.Ujumbe wake anawakubusha kwamba Yesu amekuwa wa kwanza kuwatafuta kila mmoja wao,akiwaalika wamfuate.Na Wito huu unaendelea kujiingiza katika nafsi yao ili kuifungua katika furaha kamili