Mitandao ya kijamii:

RSS:

Radio Vatican

Sauti ya Papa na Kanisa katika majadiliano na ulimwengu

Lugha:

Cameroon

Kumekuwapo na mandamano mengi huko Bamenda nchini Cameroon kwa ajili ya kudai uhuru hasa kanda zinazo zungumza kingereza

Kumekuwapo na mandamano mengi huko Bamenda nchini Cameroon kwa ajili ya kudai uhuru hasa kanda zinazo zungumza kingereza

Wakatoliki nchini Cameroon wanataka amani ya kweli dhidi ya mivutano

06/06/2018 14:24

Mivutano ni kama vile visu vina katakatana hata kama mijini hakuna mapigano, lakini wafanyabiashara wa maduka na  wale wadogo wadogo wanaogopa kuharibiwa shughuli zao na kuwaletea hasara. Ndiyo hali halisi ilivyo katika nchi ya Cameroon kufuatia mivutano ya kanda za lugha ya kingereza

 

Nchini Cameroon kumekuwapo na mandamano ya kile cha kudai haki dhidi ya ubaguzi wa kati yao wa lugha mbili ya kingereza na kifaransa

Nchini Cameroon kumekuwapo na mandamano ya kile cha kudai haki dhidi ya ubaguzi wa kati yao wa lugha mbili ya kingereza na kifaransa

Maaskofu wa Cameroon wametoa wito ili kusitisha vurugu na ghasia nchini!

23/05/2018 13:25

Sitisheni kila aina za vurugu na hacheni kutuua:sisi ni ndugu wote na dada,tuanze safari ya mazungumzo na mapatano,haki na amani:Ndiyo wito wa nguvu uliotolewa hivi karibuni na Baraza la Maaskofu nchini Cameroon, kufuatia  hali mbaya inayo kumba kipeo cha siasa kijamii kwa miezi kadhaa sasa!

 

Padre Marcellin-Marie Ndabnyemb ameteuliwa na Papa Francisko kuwa Askofu wa Jimbo Katoliki la Batouri, Cameroon.

Padre Marcellin-Marie Ndabnyemb ameteuliwa na Papa Francisko kuwa Askofu mpya wa Jimbo Katoliki la Batouri, nchini Cameroon.

Mh. Padre Marcellin-Marie Ndabnyemb ateuliwa kuwa Askofu wa Batouri

26/04/2018 16:41

Mheshimiwa sana PadreMarcellin-Marie Ndabnyemb kutoka Jimbo Katoliki la Douala, aliyezaliwa kunako mwaka 1965 na kupadrishwa mwaka 1996 ameteuliwa na Baba Mtakatifu Francisko kuwa Askofu mpya wa Jimbo Katoliki la batouri, lililoloko nchini Cameroon.

 

Askofu mkuu Julio Murat ameteuliwa kuwa Balozi wa Vatican nchini Cameroon.

Askofu mkuu Julio Murat ameteuliwa kuwa Balozi wa Vatican nchini Cameroon.

Askofu mkuu Julio Murat ateuliwa Balozi wa Vatican nchini Cameroon

24/03/2018 13:57

Askofu mkuu Julio Murat alizaliwa kunako mwaka 1961 nchini Uturuki, akapewa Daraja Takatifu ya Upadre mwaka 1986. Tarehe 1 Januari 1994 akaanza utume wake mjini Vatican. Mwaka 2012 akateuliwa kuwa Askofu mkuu na kuwekwa wakfu mwaka 2012, sasa ameteuliwa kuwa Balozi nchini Cameroon.

 

Papa Francisko amemteua Askofu mkuu Piero Pioppo kuwa Balozi mpya wa Vatican nchini Indonesia

Papa Francisko amemteua Askofu mkuu Piero Pioppo kuwa Balozi mpya wa Vatican nchini Indonesia

Askofu mkuu Pioppo ateuliwa kuwa Balozi wa Vatican nchini Indonesia

10/09/2017 15:57

Askofu mkuu Piero Pioppo aliyezaliwa mwaka 1960, akapdrishwa mwaka 1985 na kuwekwa wakfu kuwa Askofu mkuu mwaka 2010 ameteuliwa na Baba Mtakatifu Francisko kuwa Balozi mpya wa Vatican nchini Indonesia. Kabla ya uteuzi huu, Askofu mkuu Pioppo alikuwa nchini Cameroon na E. Guinea.