Mitandao ya kijamii:

RSS:

Radio Vatican

Sauti ya Papa na Kanisa katika majadiliano na ulimwengu

Lugha:

Bwana Wang Yi, Waziri wa mambo nchi za nje China

Olav F.Tveit amesema, inawezekana kufikia mwaka 2050 nchi ya China ikaongoza kuwa na wakristo wengi zaidi katika ulimwengu

Olav Fykse Tveit amesema, inawezekana kufikia mwaka 2050 nchi ya China ikaongoza kuwa na wakristo wengi zaidi katika ulimwengu

Dk.Tveit amesema nchi ya china itaongoza kwa wingi wa wakristo 2050!

11/01/2018 09:04

Katibu Mkuu wa Baraza la Kiekumene la Makanisa Duniani,Dk.Olav amefanya maadhimisho ya miaka 70 ya Baraza hilo katika Kanisa la Chongwemen nchini China;mahali ambapo amesema kuwa,kufikia mwaka 2050 nchi ya China inawezakana ikawa nchi yenye wakristo wengi zaidi katika ulimwengu. 

 

Tanzania itaendeleza ushirikiano wake na China kwa ajili ya ustawi na maendeleo ya wananchi wa pande hizi mbili!

Tanzania itaendeleza ushirikiano na China kwa ajili ya ustawi na maendeleo ya wananchi wa pande hizi mbili.

Tanzania kuendeleza ushirikiano na China kwenye viwanda!

10/01/2017 12:13

Serikali ya awamu ya tano inawakaribisha wawekezaji makini kutoka China ili kuwekeza katika maeneo mbali mbali nchini Tanzania, lakini zaidi katika sekta ya miundombinu, viwanda vya kati na viwanda vikubwa; kilimo na nishati ili kuinua kiwango cha uchumi wa nchi na kuwapatia wananchi kipato!