Mitandao ya kijamii:

RSS:

Radio Vatican

Sauti ya Papa na Kanisa katika majadiliano na ulimwengu

Lugha:

Bwana Donald Trump

Maskofu wa Korea watoa sala kwa ajili ya nchi yao katika kipindi cha kihistoria,

Maskofu wa Korea watoa sala kwa ajili ya nchi yao katika kipindi cha kihistoria,

Kanisa la Korea kusali Novena kwa nchi yao katika kipindi katika kihistoria!

12/06/2018 16:47

Baraza la Maaskofu nchini Korea wameandaa Novena kwa ajili ya nchi zote mbili, kuombea amani na mkutano wa mapatano, Ni kufuatia  fursa ya wakati huu ambayo nchi hizi mbili wanakabiliana katika kufungua ukurasa mpya wa kihistoria zaidi mkutano wa Trump na Kim, 12 Juni 2018 huko Singapore!

Camera juu ya uzio wa usalama katika eneo la Mkutano wa wakuu wa mataifa G7 mjini Quebec, Canada kuanzia 8-9 Juni 2018

Camera juu ya uzio wa usalama katika eneo la Mkutano wa wakuu wa mataifa G7 mjini Quebec, Canada kuanzia 8-9 Juni 2018

Maandalizi ya mkutano wa G7,tarehe 8-9 Juni 2018 huko Quebec, Canada!

05/06/2018 15:06

Ripoti ya Taasisi ya Maendeleo ya Nchi za Nje ya Uingereza imesema mataifa ya G7 yanatumia dola bilioni 100 kila mwaka kuendeleza utumiaji wa mafuta, gesi na makaa ya mawe, licha ya kuahidi kusita ifikapo 2025. Ripoti imetolewa kufuatia mkutano wa mataifa ya G7 nchini Canada 8-9.6.2018.

Maaskofu wa Marekani katika harakati ya kusaidia vijana karibia laki nane ili wasirudishwe nchi za asili maana walifika na wazazi  wakiwa ni watoto

Maaskofu wa Marekani katika harakati ya kusaidia vijana karibia laki nane ili wasirudishwe nchi za asili maana walifika na wazazi wakiwa ni watoto

Juhudi ya Maaskofu wa Marekani katika sheria ili kuokoa DACA!

27/04/2018 15:02

Mapendekezo yaliyotolewa na Maaskofu wa Marekani katika Bunge ili kuokoa mpango wa DACA yaani wa kutowarudisha  makwao  watoto wahamiaji, umepata msingi na sauti kubwa kwa mujibu wa maelezo ya Askofu Joe Vásquez, wa Tume ya wahamihaji ya Baraza la Maaskofu nchini Marekani.

Kauli za Rais Trump dhidi ya watu wa Afrika na Haiti imesababisha maandamamo makubwa ya kupinga ubaguzi wa rangi kwa rais huyo

Kauli za Rais Trump dhidi ya watu wa Afrika na Haiti imesababisha maandamamo makubwa ya kupinga ubaguzi wa rangi kwa rais huyo

Kanisa la Marekani linashutumu kauli ya Trump dhidi ya binadamu!

16/01/2018 08:55

Rais Trump ametumia neno lisilostahili dhidi ya Haiti na nchi za Afrika alipouliza swali la ni kwa nini Marekani iwapokee wahamiaji kutoka mataifa ya kimaskini kama Haiti na Afrika.Baraza la Maaskofu Marekani,kama pia viongozi wengi duniani,wanashutumu vikali kauli yake potofu kwa binadamu.

Maandamano mbele ya Ikulu Marekani kupinga maamuzi ya kuondolewa kwa Kinga ya Muda (TPS) kwa wa El Salvador wanaoishi Marekani

Maandamano mbele ya Ikulu Marekani kupinga maamuzi ya kuondolewa kwa Kinga ya Muda (TPS) kwa wa El Salvador wanaoishi Marekani

Watu wa El Salvador kuondolewa Kinga ya muda TPS nchini Marekani !

09/01/2018 14:55

Marekani imetangaza kuondoa kinga kwa wahamiaji 200,000 kutoka El Salvador.Ni uthibitisho wa Ikulu,iliyotangaza tarehe 8 Januari 2018.Na Kanisa Katoliki limethibitisha kuwa haliwaacha watu na familia zao,na hivyo wanaomba bunge na wadau wahusika kuingilia kati suala nyeti mapema iwezekavyo