Mitandao ya kijamii:

RSS:

Radio Vatican

Sauti ya Papa na Kanisa katika majadiliano na ulimwengu

Lugha:

Brazil

Familia ya Mungu nchini Brazil inaadhimisha kumbu kumbu ya miaka 300 tangu Bikira Maria wa Aparecida alipotokea na kuwa ni chemchemi ya ibada kubwa.

Familia ya Mungu nchini Brazil kwa mwaka 2017 inaadhimisha kumbu kumbu ya miaka 300 tangu Bikira Maria wa Aparecida alipotokea na hivyo kuwa ni chemchemi ya ibada kuu kwa Bikira Maria, Mama wa Mungu na Kanisa.

Jubilei ya miaka 300 tangu Bikira Maria alipotokea Aparecida!

19/04/2017 11:00

Familia ya Mungu nchini Brazil kwa mwaka 2017 inaadhimisha Jubilei ya miaka 300 tangu Bikira Maria alipotokea kule Aparacida na kuwa ni chemchemi ya Ibada ya nguvu kwa wananchi wengi huko Amerika ya Kusini! Rais wa Brazil amemwalika Papa Francisko katika tukio hili, lakini imeshindikana kwa sasa!

Baraza la Maaskofu Katoliki Brazili linaitaka familia ya Mungu nchini humo kupambana na saratani ya rushwa kwa kuzingatia Katiba, sheria na demokrasia

Baraza la Maaskofu Katoliki Brazili linaitaka familia ya Mungu nchini humo kusimama kidete kupambana na saratani ya rushwa, ufisadi ili kujenga na kudumisha amani na matumaini!

Siku ya Kuombea Amani Brazili 2017: Amani na Matumaini!

02/01/2017 14:09

Baraza la Maaskofu Katoliki Brazili limetumia maadhimisho ya Siku ya Kuombea Amani Duniani kwa Mwaka 2017 kuitaka familia ya Mungu nchini Brazili, kuendelea kusimama kidete kupambana kufa na kupona na saratani ya rushwa, ufisadi na mmong'onyoko wa tunu msingi za kiutu, ili kujenga haki jamii.

 

Baba Mtakatifu Francisko ametuma salam za rambi rambi kutokana na ajali ya ndege iliyosababisha watu 71 kufariki dunia wengi ni wachezaji wa mpira.

Papa Francisko ametuma salam za rambi rambi kufuatia ajali ya ndege iliyokuwa inaelekea nchini Colombia kugonga mlima na kuanguka na hivyo kusababisha watu 71 kufariki dunia na baadhi yao kuponea chupu chupu!

Ajali ya ndege yauwa watu 71: Papa atuma salam za rambi rambi!

30/11/2016 16:18

Kardinali Pietro Parolin, Katibu mkuu wa Vatican kwa niaba ya Baba Mtakatifu Francisko ametuma salam zake za rambi rambi nchini Brazil kufuatia vifo vya watu 71 vilivyotokea kwa ajili ya ndege, Jumanne tarehe29 Novemba 2016 wakati ndege ilikuwa ikielekea nchini Colombia ilipoanguka!

 

Simameni kidete kuwalinda, kuwatetea na kuwasaidia watoto ili kuwajengea matumaini ya leo na kesho iliyo bora zaidi!

Baba Mtakatifu Francisko anawataka viongozi wa Kanisa pamoja na watu wote wenye mapenzi mema nchini Brazil kusimama kidete kuwalinda, kuwatetea na kuwajengea watoto matumaini ya leo na kesho iliyo bora zaidi.

Simameni kidete kulinda na kuwatetea watoto wadogo!

20/10/2016 09:32

Baba Mtakatifu Francisko anawataka viongozi wa Kanisa pamoja na watu wote wenye mapenzi mema nchini Brazil kuhakikisha kwamba, wanasimama kidete kuwalinda, kuwatetea na kuwaendeleza watoto kiroho na kimwili, ili kuwajengea matumaini ya leo na kesho iliyo bora zaidi!

Siku ya Macho Kimataifa 2015

Siku ya macho kimataifa kwa mwaka 2015

Fungueni macho! Kuna watoto wanaopofuka kila dakika kwa kukosa tiba!

08/10/2015 11:39

Jumuiya ya Kimataifa tarehe 8 Oktoba 2015  inapoadhimisha Siku ya Macho Duniani, wananchi wanaalikwa kwa namna ya pekee kuhakikisha kwamba, wanafungua macho kwani kuna idadi kubwa ya watoto wanaopofuka kila dakika kwa kukosa matibabu muafaka ya macho.

 

Baba Mtakatifu Francisko akiwa Paraguay

Papa Francisko akiwa nchini Paraguay

Salam na matashi mema kwa wakuu wa nchi kutoka kwa Papa Francisko

14/07/2015 11:09

Baba Mtakatifu Francisko wakati alipokuwa anarejea kutoka Amerika ya Kusini amewatumia wakuu wa nchi ambazo amepita juu ya anga zake, salam na matashi mema: Bolivia, Paraguay, Brazil, Cape Verde, Moroco, Hispania na Italia.

 

Papa Francisko anataka kutangaza Injili ya Furaha Amerika ya Kusini

Baba Mtakatifu Francisko wakati wa hija yake ya tisa kimataifa, anapenda kuitangazia Familia ya Mungu eneo hili Injili ya Furaha , Matumaini na Upatanisho.

Papa Francisko anataka kutangaza Injili ya Furaha Amerika ya Kusini

01/07/2015 11:34

Baba Mtakatifu Francisko katika hija yake ya tisa kimataifa huko Amerika ya Kusini kwa kutembelea Equador, Bolivia na Paraguay anapenda kuitangazia Familia ya Mungu katika nchi hizi Injili ya Furaha, Matumaini na Upatanisho, ili iweze kutoka kimasomaso kushuhudia tunu hizi katika maisha yao. 

Papa Francisko anakwenda Cuba kama Mmissionari wa huruma ya Mungu.

Baba Mtakatifu Francisko anakwenda Cuba kama Mmissionari wa huruma ya Mungu.

Papa Francisko anakwenda nchini Cuba kama Mmissionari wa huruma ya Mungu

30/06/2015 11:29

Baraza la Maaskofu Katoliki Cuba, limewaandikia wananchi wa Cuba ujumbe kama sehemu ya maandalizi ya ujio wa Baba Mtakatifu Francisko nchini mwao kwa kukazia umuhimu wa maandalizi ya maisha ya kiroho, ili kuomba huruma ya Mungu, haki, amani na upatanisho kati ya mataifa.