Mitandao ya kijamii:

RSS:

Radio Vatican

Sauti ya Papa na Kanisa katika majadiliano na ulimwengu

Lugha:

Bikira Maria wa Aparecida

Baba Mtakatifu ametuma ujumbe wa kwa njia ya Video katika tukio la jubilei ya miaka 300 ya kupatikana kwa Sanamu ya Mama yetu wa Aparecida

Baba Mtakatifu ametuma ujumbe wa kwa njia ya Video katika tukio la jubilei ya miaka 300 ya kupatikana kwa Sanamu ya Mama yetu wa Aparecida

Ujumbe wa Papa kwa njia ya Video kwa miaka 300 ya Maria wa Aparecida

12/10/2017 17:01

Baba Mtakatifu ametoa ujumbe wake kwa njia ya video kutokana tukio la  maadhimisho ya Jubilei ya  miaka 300 ya kupatikana kwa Sanamu ya Bikira Maria wa Aparecida nchini Brazil. Na katika  tukio hilo, amemteua Kardinali G. Battista Rei kumwakilisha katika kilele cha sikuku  tarehe 12 Oktoba

 

Papa Francisko: Vijana Brazil, jengeni jamii inayosimikwa katika tunu msingi za kiinjili dhidi ya rushwa na ufisadi.

Papa Francisko: Vijana Brazila jengeni jamii inayosimikwa katika tunu msingi za Kiinjili dhidi ya ufisadi na rushwa.

Vijana jengeni jamii isiyopekenyuliwa na rushwa pamoja na ufisadi!

02/08/2017 15:28

Baba Mtakatifu Francisko anawataka vijana nchini Brazil kujizatiti katika mchakato wa ujenzi wa jamii mpya inayofumbatwa katika tunu msingi za Kiinjili. Lengo liwe ni kuyachachua malimwengu kwa ushuhuda wa utakatifu wa maisha; kwa kuonesha ujasiri wa kupambana na rushwa na ufisadi wa mali ya umma.