Mitandao ya kijamii:

RSS:

App:

Radio Vatican

Sauti ya Papa na Kanisa katika majadiliano na ulimwengu

Lugha:

Bikira Maria Mkingiwa Dhambi ya Asili

Ibada kwa huruma na Mungu na kwa Bikira Maria ni nyenzo muhimu katika kutafuta na kuambata utakatifu wa maisha!

Ibada ya huruma ya Mungu na kwa Bikira Maria, Mama wa Mungu na Kanisa ni nyenzo muhimu sana katika kuchuchumilia na kuambata utakatifu wa maisha!

Ibada kwa Bikira Maria na Huruma ya Mungu ni nyenzo msingi kiroho

24/04/2017 06:30

Ibada kwa Bikira Maria na huruma ya Mungu ni nyenzo muhimu sana katika maisha ya kiroho: ili kuchuchumilia na kuambata utakatifu wa maisha! Hii ni changamoto ambayo imetolewa kwenye Kituo cha Hija Kiabakari Jimbo Katoliki Musoma wakati wa mkesha wa maadhimisho ya Jumapili ya huruma!

Mwaka wa huruma ya Mungu umewawezesha watu wengi kuguswa na huruma na upendo wa Mungu kutoka kwa Kristo  na Kanisa lake!

Mwana wa huruma ya Mungu umewawezesha watu wengi kuguswa na huruma na upendo wa Mungu unaobubujika kutoka kwa Kristo Yesu na Kanisa lake anasema Askofu mkuu Yuda Thaddeus Ruwaichi wa Jimbo kuu la Mwanza, Tanzania.

Matunda ya Maadhimisho ya Mwaka wa huruma, Jimbo kuu la Mwanza!

20/04/2017 11:00

Askofu mkuu Yuda Thaddeus Ruwaichi wa Jimbo kuu la Mwanza, Tanzania anasema, baada ya familia ya Mungu Jimbo kuu la Mwanza kukitumia vyema kipindi cha maadhimisho pamoja na nyongeza yake, Jumapili ya huruma ya Mungu, tarehe 23 Aprili 2017 wanaufunga rasmi mwaka wa huruma, lakini...!

Kauli mbiu: "Papa Francisko mjini Fatima 2017 pamoja na B. Maria kama mahujaji wa matumaini na amani".

Kauli mbiu "Papa Francisko mjini Fatima 2017 pamoja na Bikira Maria kama mahujaji wa matumaini na amani."

Jubilei ya Miaka 100 tangu B. Maria alipowatokea Watoto wa Fatima

21/02/2017 07:45

Mama Kanisa anaadhimisha Jubilei ya Miaka 100 tangu Bikira Maria alipowatokea Watoto wa Fatima, yaani Francis, Yacinta na Lucia waliokuwa wakichunga kondeni. Ujumbe wa Bikira Maria ulikuwa ni kusali Rozari, Toba na Wongofu wa ndani; amani na utulivu! Huu ni ujumbe endelevu hata kwa nyakati hizi!

Papa Francisko anawataka watawa kuwahudumia maskini, kutangaza na kumshuhudia Kristo Mfufuka kwa njia ya matendo ya huruma: kiroho na kimwili.

Papa Francisko anawataka watawa kuwahudumia maskini na kumshudhia Kristo Mfufuka kwa njia ya matendo ya huruma: kiroho na kimwili.

Mwilisheni ushuhuda wenu katika matendo ya huruma lugha inayoeleweka!

18/02/2017 15:18

Baba Mtakatifu anawataka watawa kuwahudumia maskini na wale wote wanaosukumizwa pembezoni mwa jamii kama njia ya kutangaza na kushuhudia Neno la Mungu katika lugha inayofahamika na kueleweka kwa walengwa, yaani ushuhuda unaomwilishwa katika matendo ya huruma: kiroho na kimwili!

Kilele cha maadhimisho ya Siku ya 25 ya Wagonjwa Duniani kwa Mwaka 2017 ni tarehe 11 februari 2017 huko Lourdes, Ufaransa.

Kilele cha maadhimisho ya Siku ya 25 ya wagonjwa Duniani ni tarehe 11 februari 2017 huko Lourdes. Ufaransa.

Ujumbe wa Papa Francisko kwa Siku ya 25 ya Wagonjwa Duniani 2017

09/02/2017 13:38

Maadhimisho ya Siku ya 25 ya Wagonjwa Duniani kwa Mwaka 2017 yanaongozwa na kauli mbiu "Mshangao kwa makuu aliyotenda Mungu" Mwenyezi amenitendea mambo makuu" na kilele cha maadhimisho haya ni hapo tarehe 11 Februari 2017 kwa Ibada ya Misa Takatifu itakayoadhimishwa Lourdes.

Baba Mtakatifu Francisko amemkabidhi Bikira Maria Mkingiwa Dhambi ya Asili mateso na mahangaiko ya binadamu kwa nyakati hizi.

Baba Mtakatifu Francisko amemkabidhi Bikira Maria Mkingiwa Dhambi ya Asili mateso na mahangaiko ya binadamu kwa nyakati hizi.

Papa akabidhi mahangaiko ya binadamu kwa Bikira Maria!

09/12/2016 08:00

Baba Mtakatifu Francisko katika maadhimisho ya Siku kuu ya Bikira Maria Miingiwa Dhambi ya asili kama kawaida ya mapokeo, alikwenda kutoa heshima zake kwa sanamu ya Bikira Maria Mkingiwa Dhambi ya Asili iliyoko Uwanja wa Spagna pamoja na kumkabidhi mahangaiko ya binadamu kwa sasa!

Bikira Maria Mkingiwa Dhambi ya asili utuombee!

Bikira Maria Mkingiwa Dhambi ya asili utuombee!

Watawa wa Bikira Maria Immakulata na utume wao nchini Tanzania

08/12/2016 15:30

Shirika la Bikira Maria Immakulata kutoka Poland limekuwa ni msaada mkubwa katika maisha na utume wa Kanisa mahalia nchini Tanzania. Kwa sasa watawa wake wako mstari wa mbele katika kuwahudumia wasichana wanaoishi katika mazingira magumu, katekesi na elimu ya dini shuleni!

Askofu Titus Mdoe wa Jimbo Katoliki Mtwara anawataka watawa kuwa ni mfano bora wa kuigwa na vijana wa kizazi kipya!

Askofu Titus Mdoe wa Jimbo Katoliki Mtwara anawataka watawa kuwa ni mfano bora wa kuigwa na vijana wa kizazi kipya ili vijana wengi waweze kujisadaka kwa ajili ya Kristo na Kanisa lake.

Watawa iweni ni mifano bora ya kuigwa na vijana wa kizazi kipya!

08/12/2016 14:53

Askofu Titus Joseph Mdoe wa Jimbo Katoliki Mtwara katika maadhimisho ya Siku kuu ya Bikira Maria Mkingiwa Dhambi ya Asili sanjari na sherehe ya Jubilei ya miaka 25 ya wito na maisha ya kitawa, amewataka watawa kuhakikisha kwamba, wanakuwa kweli ni mifano bora ya kuigwa na vijana!