Mitandao ya kijamii:

RSS:

Radio Vatican

Sauti ya Papa na Kanisa katika majadiliano na ulimwengu

Lugha:

Bi Verónica Michelle Bachelet

Papa Francisko anawashukuru wadau mbali mbali waliojisadaka usiku na mchana ili kufanikisha hija yake ya kitume nchini Chile.

Papa Francisko anawashukuru wadau mbali mbali waliojisadaka usiku na mchana ili kuhakikisha kwamba, anafanikisha hija yake ya kitume nchini Chile kuanzia tarehe 15 hadi tarehe 18 Januari 2018.

Papa Francisko anawashukuru wote waliojisadaka kwa ajili ya hija yake

18/01/2018 15:42

Baba Mtakatifu Francisko anawashukuru viongozi wa Kanisa na Serikali pamoja na umati mkubwa wa watu wa Mungu waliojisadaka usiku na mchana ili kuhakikisha kwamba, hija yake ya kitume inafanikiwa huko nchini Chile kwa kujenga utamaduni wa watu kukutana na kuadhimisha Mafumbo ya Kanisa.

Amani yangu nawapa ndiyo kauli mbiu inayoongoza hija ya Papa Francisko nchini Chile kuanzia tarehe 15- 18 Januari 2018.

Amani yangu nawapa ndiyo kauli mbiu inayoongoza hija ya kitume ya Baba Mtakatifu Francisko nchini Chile kuanzia tarehe 15 - 18 Januari 2018.

Ratiba elekezi ya Baba Mtakatifu Francisko nchini Chile!

12/01/2018 15:06

Amani yangu nawapa ndiyo kauli mbiu iliyochaguliwa na familia ya Mungu nchini Chile wakati wa hija ya kitume ya Baba Mtakatifu Francisko nchini humo kuanzia tarehe 15 hadi tarehe 18 Januari 2018. Baba Mtakatifu atapata nafasi ya kusali, kukutana na kuzungumza na familia ya Mungu nchini Chile.

Ni watu 19,000 wa kujitolea katika maandalizi ya Ziara ya Papa nchini Cile

Ni watu 19,000 wa kujitolea katika maandalizi ya Ziara ya Papa nchini Cile

Ni watu 19,000 wa kujitolea katika maandalizi ya Ziara ya Papa nchini Cile!

29/12/2017 15:07

Kuwa mtu wa kujitolea kipapa ni kama kutumwa katika kujenga Kanisa ambalo ni nzuri zaidi na ulimwengu ulio bora.Haya ni maelezo ya Francisca Jose’ Miranda mmoja kati ya maelfu ya watu wa kijitolea waliojikwamua kusaidia katika maandalizi ya ujio wa Baba Mtakatifu Francisko nchini Cile 2018