Mitandao ya kijamii:

RSS:

Radio Vatican

Sauti ya Papa na Kanisa katika majadiliano na ulimwengu

Lugha:

Bi Angela Merkel

Camera juu ya uzio wa usalama katika eneo la Mkutano wa wakuu wa mataifa G7 mjini Quebec, Canada kuanzia 8-9 Juni 2018

Camera juu ya uzio wa usalama katika eneo la Mkutano wa wakuu wa mataifa G7 mjini Quebec, Canada kuanzia 8-9 Juni 2018

Maandalizi ya mkutano wa G7,tarehe 8-9 Juni 2018 huko Quebec, Canada!

05/06/2018 15:06

Ripoti ya Taasisi ya Maendeleo ya Nchi za Nje ya Uingereza imesema mataifa ya G7 yanatumia dola bilioni 100 kila mwaka kuendeleza utumiaji wa mafuta, gesi na makaa ya mawe, licha ya kuahidi kusita ifikapo 2025. Ripoti imetolewa kufuatia mkutano wa mataifa ya G7 nchini Canada 8-9.6.2018.

 

 

Jumuiya ya Mt. Egidio imekuwa mstari wa mbele katika majadiliano ya kidini, kiekumene na kitamaduni kwa kuwekeza katika afya na elimu.

Jumuiya ya Mt. Egidio imekuwa mstari wa mbele katika majadiliano ya kidini, kiekumene na kitamaduni kwa kuwekeza zaidi katika maboresho ya sekta ya elimu na afya kwa njia ya Mradi wa "The DREAM na BRAVO".

Jubilei ya Miaka 50 ya Jumuiya ya Mt. Egidio: Amani, Afya na Elimu!

13/02/2018 10:34

Chancellor Angela Merkel wa Ujerumani anasema, katika kipindi cha miaka 50 iliyopita, Jumuiya ya Mtakatifu Egidio imejipambanua katika kukuza na kudumisha mchakato wa majadiliano ya kidini, kiekumene na kitamaduni; kwa kujikita katika maboresho ya afya na elimu pembezoni mwa jamii!

Papa Francisko anaandika kuwa Munster ndipo mkutano unaendelea wa njia  za amani na mazungumzo  yaliyoanzishwa na Mt. Yohane Paulo II huko Assizi 1986

Papa Francisko anaandika kuwa Munster ndipo mkutano unaendelea wa njia za amani na mazungumzo yaliyoanzishwa na Mt. Yohane Paulo II huko Assizi 1986.

Papa Francisko:Katika vurugu hizi utafikiri hakuna njia za amani

11/09/2017 14:58

Papa Francisko ametuma ujumbe katika Mkutano wa Njia za Amani huko Osnabruk Ujermani akisema,tuendelee kufungua pamoja njia mpya za amani.Taa za amani zinawaka mahali ambapo kuna giza la chuki.Ni lazima utashi kwa upande wa wote ili kuweza kuondokana na vikwazo vya mgawanyiko.

 

 

Papa Francisko amemwaandikia viongozi wakuu wa G20 akiwataka kushikamana ili kutatua changamoto za Jumuiya ya Kimataifa!

Papa Francisko amewaandikia wakuu wa Nchi za G20 kuwataka kushikamana katika utekelezaji wa maazimikio na itifaki za kimataifa.

Viongozi wa G20 shikamaneni ili kupambana na changamoto za kimataifa

07/07/2017 14:39

Baba Mtakatifu Francisko amewaandikia viongozi wakuu wa Nchi za G20 akiwahamasisha kushikamana katika kupambana na changamoto zinazoendelea kujitokeza katika Jumuiya ya Kimataifa, ustawi, maendeleo na mafai ya wengi yakipewa kipaimbele cha kwanza hata katika utekelezaji wake!

Kunako Mwaka 1986 Papa Yohane Paulo II alianzisha Siku ya Kuombea Amani Duniani, huko Assisi, Italia.

Kunako Mwaka 1986 Papa Yohane Paulo II alianzisha Siku ya Kuombea Amani Duniani, tukio ambalo walau kila mwaka linawakutanisha viongozi wa dini mbali mbali ili kusali kwa pamoja kuombea amani duniani.

Maandalizi ya Kumbu kumbu ya Miaka 30 ya Roho ya Assisi yapamba moto!

06/07/2017 14:58

Waamini wa dini mbali mbali wanahamasishwa kusimama kidete, kulinda, kutetea na kudumisha misingi ya haki, amani na maridhiano kati ya watu! Mtakatifu Yohane Paulo II, miaka 30 iliyopita, aliwakutanisha viongozi mbali mbali wa kidini kwa ajili ya kuombea amani duniani. Hii ni changamoto endelevu!

Umaskini, baa la njaa duniani, vitendo vya kigaidi na athari za mabadiliko ya tabia nchi ni changamoto pevu kwa Jumuiya ya Kimataifa!

Umaskini, baa la njaa duniani, vitendo vya kigaidi na athari za mabadiliko ya tabianchi ni kati ya changamoto pevu zaidi duniani.

Mapambano dhidi ya umaskini, njaa, ugaidi na mabadiliko ya tabianchi

17/06/2017 16:53

Umuhimu wa Jumuiya ya Kimataifa kujizatiti zaidi katika mapambano dhidi ya baa la njaa na umaskini; vitendo vya kigaidi na uthibiti wa athari za mabadiliko ya tabianchi ni kati ya mambo msingi yalaiyojadiliwa kati ya Papa Francisko na Bi Angela Merkel wa Ujerumani, walipokutana mjini Vatican..

Chancellor Helmut Kohl amefariki dunia akiwa na umri wa miaka 87 anakumbukwa kuwa ni muasisi wa Ujerumani iliyounganika!

Chancellor Helmut Kohl amefariki dunia akiwa na umri wa miaka 87 baada ya kuugua kwa muda mrefu na kwamba, anahesabiwa kuwa ni muasisi wa Ujerumani iliyoungana.

Chancellor mstaafu Kohl alikuwa ni daraja la umoja na upatanisho!

17/06/2017 16:33

Marehemu Chancellor mstaafu Helmut Kohl alikuwa ni daraja la mshikamano na umoja kati ya wananchi wa Ujerumani na Jumuiya ya Ulaya; alikuwa ni chombo cha upatanisho, haki na amani, aliyejisadaka kwa ajili ya kuhakikisha kwamba, ukuta wa Berlin unavunjiliwa mbali, ili kukutanisha watu!

Ujerumani kuwekeza zaidi Euro milioni 300 kwa nchi za Afrika

Ujerumani ipo tayari kuwekeza zaidi Euro milioni 300 kwa maendeleo ya nchi za Afrika na kujenga ushirikiano mzuri kati ya Bara la Ulaya na Bara la Afrika

Chansela Merkel, Bara la Afrika ni rasilimali na fursa kwa uwekezaji

14/06/2017 13:43

Chansela Angela Merkel anapendekeza mpango mkakati wa ushirikiano wa kimaendeleo kati ya Bara la Ulaya na Bara la Afrika, kwa kulitazama Bara la Afrika kama rasilimali na fursa ya uwekezaji, ili kuliwezesha Bara hilo kusonga mbele kimaendeleo. Ujerumani ipo tayari kwa Euro milioni 300.