Mitandao ya kijamii:

RSS:

Radio Vatican

Sauti ya Papa na Kanisa katika majadiliano na ulimwengu

Lugha:

Benjamin W. Mkapa

Papa Francisko anayashukuru Mashirika ya Kitawa na Kazi za Kitume yanayoendelea kutoa huduma ya tafiti, tiba na kinga kwa wagonjwa duniani.

Papa Francisko anayashukuru Mashirika ya Kitawa na Kazi za kitume kwa huduma ya utafiti, tiba na kinga kwa wagonjwa sehemu mbali mbali za dunia.

Hospitali ya Mtakatifu Gaspar, Itigi, chombo cha huduma kwa wagonjwa

10/02/2018 09:11

Baba Mtakatifu Francisko anayapongeza Mashirika ya Kitawa na Kazi za kitume kwa kuendeleza huduma na utume wa uponyaji uliotekelezwa na Kristo Yesu katika maisha yake. Anayataka Mashirika haya kuendelea kupyaisha huduma hii, kwa kuzingatia haki msingi za binadamu, utu na heshima ya wagonjwa!

Padre Alessandro Manzi ameteuliwa kuratibu mchakato wa maboresho ya huduma ya Hospitali ya Rufaa ya Mt. Gaspar, Itigi, Manyoni, Singida, Tanzania.

Padre Alessandro Manzi, C.PP.S ameteuliwa kuwa mratibu wa mchakato wa maboresho ya huduma zinazotolewa na Hospitali ya Mtakatifu Gaspari, Itigi, Manyoni, Singida, Tanzania.

Mchakato wa maboresho ya huduma ya Hospitali ya Mt. Gaspar, Itigi!

25/07/2017 07:00

Shirika la Wamissionari wa Damu Azizi ya Yesu limeanza mchakato wa maboresho ya huduma inayotolewa na Hospitali ya Rufaa ya Mtakatifu Gaspar, Itigi, Manyoni, Singida kwa kumteua Padre Alessandro Manzi, mhandisi kitaaluma, lakini mmissionari na Padre katika maisha na wito wake!

Hatima ya amani, utulivu, usalama na maendeleo iko mikononi mwa wananchi wote wa Burundi, kwa kuondokana na tofauti zao!

Hatima ya amani, utulivu, usalama na maendeleo iko mikononi mwa wananchi wa Burundi wenyewe, changamoto ya kuzika tofauti zao ili kuambata misingi ya haki, amani na umoja wa kitaifa.

Hatima ya amani nchini Burundi iko mikononi mwa wananchi wenyewe!

06/06/2016 10:40

Viongozi wa Jumuiya ya Afrika Mashariki katika mchakato wa upatanisho nchini Burundi wanaendelea kukazia kwamba, hatima ya amani, usalama na utulivu wa kisiasa nchini Burundi uko mikononi mwa wananchi wenyewe wa Burundi wanaopaswa kumaliza tofauti zao, chanzo kikuu cha kinzani.

 

Rais mstaafu Benjamini William Mkapa wa Tanzania ameteuliwa kuwa msuluhishi wa mgogoro wa kisiasa na kijamii nchini Burundi.

Rais mstaafu Benjamini William Mkapa wa Tanzania ameteuliwa kuwa mpatanishi katika mgogoro wa kisiasa na kijamii nchini Burundi.

Benjamini William Mkapa na mchakato wa amani Burundi

07/03/2016 10:34

Jumuiya ya Kimataifa inaonesha matumaini makubwa kwa juhudi zitakazofanywa na Rais mstaafu Benjamini William Mkapa wa Tanzania katika kutafuta suluhu ya amani na utulivu nchini Burundi, juhudi zinazoungwa na mkono na Baraza la Makanisa Ulimwenguni na Jumuiya ya Kimataifa!

 

Rais John Pombe Magufuli akikagua gwaride la heshima baada ya kuapishwa kuwa Rais wa Tanzania

Dr. John Pombe Magufuli ameapishwa kuwa Rais wa Tanzania na baadaye kukagua gwaride la heshima.

Jamani uchaguzi umekwisha, Rais ni Dr. John Pombe Magufuli, Kazi kama kawa!

05/11/2015 15:12

Dr. John Pombe Joseph Magufuli ameapishwa kuwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania katika sherehe iliyohudhuriwa na viongozi mbali mbali kutoka ndani na nje ya Bara la Afrika. Uchaguzi umekwisha, sasa watanzania wanahamasishwa kujenga umoja, upendo na mshikamano.

Mkapa: Wakandarasi fanyeni kazi kwa weledi, sheria na kanuni

Rais mstaafu Benjamini Mkapa amewataka wakandarasi Afrika Mashariki kufanya kazi kwa weledi kwa kuzingatia sheria, kanuni na taratibu za sekta ya ujenzi.

Wakandarasi fanyeni kazi kwa weledi kwa kuzingatia kanuni na sheria!

15/05/2015 08:15

Rais mstaafu Benjamini William Mkapa amewataka wakandarasi Afrika Mashariki kutekeleza dhamana na wajibu wao kwa weledi kwa kuzingatia kanuni, sheria na taratibu zinazosimamia sekta ya ujenzi, ili kusaidia mchakato wa maendeleo na mafao ya wengi.