Baba Mtakatifu Francisko katika barua yake kwa vijana anawaalika kutoka katika mazingira yanayokwamisha ukuaji wao kiroho, kimwili na kiutu; kuendelea kupaaza sauti zao ili ziweze kuwafikia viongozi mbali mbali, ili kuwapatia nafasi ya kutoa maoni yao kabla ya kufanya maamuzi kuhusu hatima yao!
Pamoja na maandalizi ya Siku ya XXXIV ya Vijana huko Panama,pia inatanguliwa na mikutano muhimu ya maandalizi
Mwaka 2018 unawakilisha matukio muhimu kwa upande wa vijana duniani ikiwa ni Sinodi ya Maaskofu ya Vijana kwa mada ya Vijana,imani na mang’amuzi ya miito3 -28 Oktoba;Vijana wa Italia watakutana na Papa,11-12 Agosti;Mkutano kabla ya Sinodi,19-24 na 25 Machi Siku ya XXXIII Kijimbo ya Vijana!
Papa Francisko anawakumbusha vijana kwamba, wao ni wadau wakuu katika maadhimisho ya Sinodi ya Maaskofu kwa ajili ya vijana kwa mwaka 2018.
Baba Mtakatifu Francisko anawakumbusha vijana kwamba, wao ndio wadau wakuu wa maadhimisho ya Sinodi ya Maaskofu kwa ajili ya vijana itakayoadhimishwa Mwezi Oktoba, 2018. Vijana wanakumbushwa kwamba wao ndio wadau wakuu wa mcahakto wote wa Sinodi ya Maaskofu!
Mitandao ya kijamii: