Mitandao ya kijamii:

RSS:

Radio Vatican

Sauti ya Papa na Kanisa katika majadiliano na ulimwengu

Lugha:

Bartholomew I

Kama isemavyo kitabu cha Mwanzo hapakuwa na mimea juu ya nchi wala miti haikuwa imechipua kwani Mwenyezi  Mungu hakuwa ameinyeshea nchi mvua

Kama isemavyo kitabu cha Mwanzo hapakuwa na mimea juu ya nchi wala miti haikuwa imechipua kwani Mwenyezi Mungu hakuwa ameinyeshea nchi mvua na wala hapakuwapo mtu wa kuilima.

Ujumbe wa Papa na Patriaki kwa Siku ya Kuombea Utunzaji wa Mazingira 2017

01/09/2017 12:13

Baba Mtakatifu Francisko na Patriaki wa Kiekumeni Bartholomew I wameandika kwa mara ya kwanza ujumbe katika tukio la kuadhimisha mwaka wa tatu wa Siku ya Kuombea Utunzaji wa Mazingira unaofanyika kila ifikapo tarehe1 Septemba.. Baba hawa wanawaomba wenye mapenzi wema kuwajibika

 

Uharibifu mkubwa unaoendelea  katika Ghuba ya Texas hasa huko Houston umesasababishwa na kimbunga cha Harvey ambayo ni dhoruba ya kitropiki

Uharibifu mkubwa unaoendelea katika Ghuba ya Texas hasa huko Houston umesasababishwa na kimbunga cha Harvey ambayo ni dhoruba ya kitropiki

Patriaki Bartholomew asema ni kipindi cha kutafakari nguvu ya kutisha ya asili

30/08/2017 14:45

Patriaki:Ni wakati wa kutafakari juu ya nguvu ya kutisha ya asili,ni wajibu wetu wa kibinadamu kuwa watendaji bora wenye busara ya mazingira. Sisi sote tumeitwa kushiriki katika ukombozi na usimamizi wa dunia yetu,kufanya kazi ili kuzuia nguvu ya uharibifu utokanao na vimbunga na mafuriko

 

Patriarch BartholomewI wa Constantinople

Patriarch BartholomewI wa Constantinople

Utunzaji wa mazingira ya dunia wahitaji mabadiliko ya moyo

31/08/2015 14:53

Ujumbe wa Patriaki BartholomewI wakemea utendaji  usiojali uharibifu wa mazingira na viumbe kuwa ni uzalishaji wa takataka duniani, tena si tu kwa viumbe lakini pia ni kuwa na moyo uliojaa takataka za kiroho.