Mitandao ya kijamii:

RSS:

Radio Vatican

Sauti ya Papa na Kanisa katika majadiliano na ulimwengu

Lugha:

Baraza la usalama UN

Jumuiya ya Kimataifa haina budi kulinda haki msingi za watoto hasa wale wanaoishi katika mazingira ya vita na machafuko ya kisiasa.

Jumuiya ya Kimataifa haina budi kulinda haki msingi za watoto wanaoishi katika mazingira ya vita na machafuko ya kisiasa.

Mbinu mkakati wa kuwalinda watoto kwenye maeneo ya vita na kinzani

10/07/2018 15:09

Askofu mkuu Bernardito Auza anasema, Jumuiya ya Kimataifa haina budi kulinda haki msingi za watoto wanaoishi katika maeneo ya vita kwa kuwawajibisha kisheria wale wote wanaowapeleka mstari wa mbele na kwenye mifumo ya utumwa mamboleo, kwa kuwaingiza katika jamii na kuwapatia elimu makini.

Baraza la Usalama la Umoja wa Mtaifa limepitisha Azimio dhidi ya walanguzi na wafanyabiashara haramu ya binadamu.

Baraza la Usalama la Umoja wa Mataifa, hivi karibuni limepitisha Azimio dhidi ya walanguzi na wafanyabiashara ya binadamu.

Baraza la Usalama la UN na mapambano dhidi ya biashara ya binadamu

12/06/2018 09:57

Baraza la Usalama la Umoja wa Mataifa hivi karibuni limepitisha azimio la kutaifisha akaunti za walanguzi na wafanyabiashara haramu ya binadamu pamoja na kuwapiga marufuku kusafiri nje ya nchi zao kama mbinu mkakati wa Jumuiya ya Kimataifa wa kutaka kupambana na biashara hharamu ya binadamu.

 

Wanawake washirikishwe katika mchakato wa kutafuta, kulinda na kudumisha amani duniani.

Wanawake washirikishwe katika mchakato wa kutafuta, kulinda na kudumisha amani na utulivu sehemu mbali mbali za dunia.

Wanawake wanapaswa kushirikishwa kikamilifu katika mchakato wa amani

17/04/2018 10:21

Askofu mkuu Bernardito Auza anasema, Jumuiya ya Kimataifa haina budi kwanza kabisa kusikiliza na kujibu kilio cha wanawake wanaoishi katika maeneo ya vita; kuwajengea uwezo kiuchumi, kijamii na kisheria na hatimaye, wahusika wa nyanyaso dhidi ya wanawake wafikishwe mbele ya sheria!