Mitandao ya kijamii:

RSS:

Radio Vatican

Sauti ya Papa na Kanisa katika majadiliano na ulimwengu

Lugha:

Baraza la Mazungumzo ya Kidini

Nchini Cameroon kumekuwapo na mandamano ya kile cha kudai haki dhidi ya ubaguzi wa kati yao wa lugha mbili ya kingereza na kifaransa

Nchini Cameroon kumekuwapo na mandamano ya kile cha kudai haki dhidi ya ubaguzi wa kati yao wa lugha mbili ya kingereza na kifaransa

Maaskofu wa Cameroon wametoa wito ili kusitisha vurugu na ghasia nchini!

23/05/2018 13:25

Sitisheni kila aina za vurugu na hacheni kutuua:sisi ni ndugu wote na dada,tuanze safari ya mazungumzo na mapatano,haki na amani:Ndiyo wito wa nguvu uliotolewa hivi karibuni na Baraza la Maaskofu nchini Cameroon, kufuatia  hali mbaya inayo kumba kipeo cha siasa kijamii kwa miezi kadhaa sasa!

Waislam wameanza mwezi wa Ramadha na Baraza la Kipapa la Mazungumzo ya Kidini wanawatakia matashi mema ya mwezi huo

Waislam wameanza mwezi wa Ramadha na Baraza la Kipapa la Mazungumzo ya Kidini wanawatakia matashi mema ya mwezi huo

Ujumbe wa Baraza la Mazungumzo ya kidini katika fursa ya mfungo wa Ramadhan

18/05/2018 17:07

Katika fursa ya mwezi mtukufu wa Ramadhan, umetolewa ujumbe wa Baraza la Kipapa la Mazungumzo ya kidini ukiwa na kauli mbiu “wakristo na waislam: kuondoka katika mashindano ili kuelekea ushirikiano kwa ajili ya mwezi wa Ramadhan na ‘ID AL-FITR 1439 H. / 2018 A.D.;Ushirikiano ni muhimu!

Papa amekutana na wawakilishi wa dini ya Dharma yaani:Wahindu, wabudha,jainists na Sikh pia na Wakristo

Papa amekutana na wawakilishi wa dini ya Dharma yaani:Wahindu, wabudha,jainists na Sikh pia na Wakristo

Papa amekutana na wawakilishi wa dini za Kidharma na wakristo!

16/05/2018 15:53

Tarehe 16 Mei 2018, Baba Mtakatifu Francisko amekutana na wawakilishi wa mkutano kutoka katika madhehebu ya wakristo,Wahindu,wabudha,jainists na Sikh.Ameonesha furaha yake ya kukutana nao wakiwa katika fursa ya mkutano  wa mada  Dharma na Neno.mazungumzo na ushirikiano katika enzi ngumu.