Mitandao ya kijamii:

RSS:

Radio Vatican

Sauti ya Papa na Kanisa katika majadiliano na ulimwengu

Lugha:

Baraza la Maaskofu Katoliki Ufilippini

Kard.Tagle:Tuwe chombo cha utetezi wa maisha,tumezaliwa na tutakufa bila uwezo!

11/01/2018 14:36

Maisha hayategemei kuwa tu na vitu na uwezo,kwani tumezaliwa bila kuwa na uwezo na wala kitu,hata tutakapokufa hatutachukua jambo lolote.Na kwa njia hiyo tujaribu kutafuta kuwa chombo cha utatezi wa maisha kwa ajili ya wengine.Ni maelezo ya Kardinali Luis A.Tagle Askofu Mkuu wa Jimbo la Manila 

 

Waamini wanapaswa kushikamana na Kristo katika sala na huduma kama ushuhuda wa imani tendaji!

Waamini wanapaswa kushikamana na Kristo Yesu katika sala na huduma kama kielelezo cha ushuhuda wa imani tendaji!

Mbinu mkakati wa uinjilishaji mpya unaojikita katika ushuhuda makini!

28/12/2017 07:51

Ili kuweza kujenga na kudumisha mchakato wa uinjilishaji mpya wenye tija na mafanikio makubwa kuna haja kwa Wakristo kufahamu mafundisho tangu ya Kanisa; kujikita katika umoja, upendo na mshikamano katika sala na huduma inayomwilishwa katika matendo ya huruma: kiroho na kimwili hasa kwa maskini!

Kardinali Ricardo Vidal, Askofu mkuu mstaafu wa Jimbo Katoliki la Cebu, amefariki dunia akiwa na umri wa miaka 86.

Kardinali Ricardo Vidal, Askofu mkuu wa Jimbo kuu la Cebu, amefariki dunia akiwa na umri wa miaka 86. RIP.

TANZIA: Kardinali Ricardo Vidal kutoka Ufilippini amefariki dunia

19/10/2017 16:17

Kardinali Ricardo Vidal alizaliwa kunako mwaka 1931, akapewa Daraja Takatiofu ya Upadre mwaka 1956. Kunako mwaka 1971 akateuliwa na kuwekwa wakfu kuwa Askofu mwandamizi wa Jimbo Katoliki Malolos, Ufilippini. Mwaka 1981 akateuliwa kuwa Askofu mkuu, amefariki duani akiwa na miaka 86. RIP.

 

Mswada wa Bunge nchini Ufilippini uliopitishwa unalenga kuboresha maisha ya watu maskini

Mswada wa Bunge nchini Ufilippini uliopitishwa unalenga kuboresha maisha ya watu maskini

Furaha ya Maaskofu wa Ufilippini kwa mswada wa Bungu kuhusu maskini

17/08/2017 15:33

Kanisa Katoliki la Ufilippini limeonesha kuridhika kwake wakati wa kupokea taarifa ya kupitishwa kwa mswada wa bunge ya nchi hiyo wenye lengo la koboresha hali ya maisha ya maskini na wanyonge katika nchi.Kupitishwa kwa sheria Serikali  itatoa kipaumbele katika mipango ya kijamii

 

Habari za kugushi kwa raia zaivuruga Ufilipini

Habari za kugushi kwa raia zaivuruga Ufilipini

Hatari ya habari za kughushi!

27/06/2017 07:30

Baraza la Maskofu Katoliki nchini Ufilipini linawaalika raia wa nchi hiyo kukomesha tabia ya kutoa habari zisizo za kweli, na kwamba wasomaji wachambue kwa umakini ukweli wa kila habari kabla ya kuzifanyia kazi, kwani habari za kugushi zinawagawanya raia na kusababisha ghasia.