Mitandao ya kijamii:

RSS:

Radio Vatican

Sauti ya Papa na Kanisa katika majadiliano na ulimwengu

Lugha:

Baraza la Maaskofu Katoliki Tanzania

Baraza la Maaskofu Katoliki Tanzania linaitaka familia ya Mungu nchini Tanzania kuwa ni mashuhuda na vyombo vya haki na amani!

Baraza la Maaskofu Katoliki Tanzania linaitaka familia ya Mungu nchini Tanzania kuwa ni mashuhuda na vyombo vya haki na amani, ili kujenga na kudumisha umoja, udugu na maridhiano kati ya watu!

Ujumbe wa Maaskofu Katoliki Tanzania: Iweni wakala wa haki na amani!

28/12/2017 15:01

Baraza la Maaskofu Katoliki Tanzania katika ujumbe wake ulioandikwa na Askofu John Christostom Ndimbo wa Jimbo Katoliki Mbinga linaitaka familia ya Mungu nchini Tanzania kuwa ni vyombo na mashuhuda wa tunu msingi za haki na amani, ili kudumisha upendo, umoja na mshikamano wa kitaifa!

 

Baraza la Maaskofu Katoliki Tanzania lina laani vurugu, mauaji na uvunjifu wa amani unaojitokeza nchini humo.

Baraza la Maaskofu Katoliki Tanzania lina laani vurugu na mauaji yanayoendelea nchini humo kwani huu si utamaduni wa watanzania!

Tamko la Baraza la Maaskofu Katoliki Tanzania kuhusu vurugu na mauaji

11/09/2017 15:46

Baraza la Maaskofu Katoliki Tanzania lina laani kwa nguvu zote matendo yote ya vurugu, mauaji na uvunjifu wa amani. Wanatamani kuona wale wote walio nyuma ya matukio haya ya vurugu, mauaji, utekwaji na utesaji wanatafutwa na kuchukua hatua stahiki kwa mujibu wa sheria!

 

Maadhimisho ya Mwaka wa Padre Tanzania: kutambua ukuu na utakatifu wa Daraja Takatifu ya Upadre

Maadhimisho ya Mwaka wa Padre Tanzania: kutambua na kuthamini ukuu wa DarajaTakatifu ya Upadre katika maisha na utume wa Kanisa.

Yaliyojiri kilele cha maadhimisho ya Mwaka wa Padre Tanzania!

16/08/2017 14:00

Maadhimisho ya Mwaka wa Padre nchini Tanzania imekuwa ni nafasi ya kutafakari: maisha, wito, dhamana, ukuu na utakatifu wa Daraja Takatifu ya Upadre katika maisha na utume wa Kanisa ndani na nje ya Tanzania. Kimekuwa ni kipindi cha kuhamasisha miito ya Daraja Takatifu ya Upadre!

ACWECA: Kuimarisha umoja katika uinjilishaji wa kina mintarafu mazingira changamani ya nyakati hizi

ACWECA: Kuimarisha umoja katika uinjilishaji wa kina mintarafu mazingira changamani ya nyakati hizi.

Watawa Afrika Mashariki na Kati, kujizatiti katika Uinjilishaji!

10/08/2017 12:30

Shirikisho la Mashirika ya Watawa wa Kike, Afrika Mashariki na Kati, ACWECA linataka kujizatiti kikamilifu katika mchakato wa uinjilishaji wa kina unaogusa mahitaji ya mtu mzima: kiroho na kimwili, kwa kwa kuimarisha umoja, upendo na mshikamano wa dhati, ili kuratibu vyema rasimali zilizopo!

Mwaka wa Padre nchini Tanzania ni fursa ya kutafakari maisha na wito wa Kipadre!

Mwaka wa Padre nchini Tanzania ni fursa ya kutafakari maisha na utume wa Padre kwa Kanisa la Tanzania.

Mapadre: Wito na maisha yenu yamehifadhiwa kwenye chombo cha udongo!

05/07/2017 16:43

Maadhimisho ya Jubilei ya Mwaka wa Padre nchini Tanzania iwe ni fursa kwa Mapadre kufanya tafakari ya kina kuhusu maisha na wito wao wa Kipadre, ili kweli maadhimisho haya yaweze kuwa ni kipindi cha toba na wongofu wa ndani, wakati wa shukrani na kuomba neema ya kusonga mbele kwa matumaini.

Watanzania wanahimizwa juu ya utunzaji bora wa mazingira nyumba ya wote!

Watanzania wanahimizwa juu ya utanzaji bora wa mazingira nyumba ya wote.

Utunzaji wa mazingira ni wajibu wa binadamu!

15/05/2017 14:11

Nchini Tanzania katika miezi ya hivi karibuni kumekuwepo na ukame mkubwa ambao umetishia maisha ya watu kutokana na baa la njaa! Baadaye, kumekuwepo na mvua kubwa ambayo imesababisha mafuriko makubwa na hivyo kuharibu makazi ya watu na miundo mbinu! Hatari kubwa!

Kasi ya kumong'onyoka kwa kanuni maadili na utu wema inaweza kulitumbukiza taifa la Tanzania katika majanga makubwa!

Kasi ya kumong'onyoka kwa kanuni maadili na utu wema kunaweza kuitumbukiza Tanzania katika majanga na maafa makubwa.

Askofu Amani: kumong'onyoka kwa kanuni maadili na utu wema ni hatari!

24/04/2017 08:49

Askofu Isaac Amani Massawe wa Jimbo Katoliki Moshi ambaye pia ni Msimamizi wa Kitume Jimbo Katoliki Mbulu anasema, kasi ya kumong'onyoka kwa kanuni maadili na utu wema nchini Tanzania ni hatari kwa haki, amani, umoja na mafungamano ya watanzania kama taifa moja! Dalili zinaonesha!

Pasaka ni ushindi dhidi ya dhambi na mauti ni mwanzo wa amani na fuiraha ya binadamu.

Pasaka ni ushindi dhidi ya dhambi na ni mwanzo mpya wa amani na furaha ya binadamu.

Kristo Mfufuka ni mwanzo wa amani na furaha kwa mwanadamu!

17/04/2017 14:20

Askofu Augustine Shao wa Jimbo Katoliki Zanzibar katika ujumbe wa Pasaka kwa mwaka 2017 anasema, Pasaka ya Bwana ni ushindi dhidi ya dhambi na mauti; ni mwanzo wa amani na furaha ya kweli ya binadamu; ni nguvu ya wanyonge; chemchemi ya matumaini na furaha kwa wote pamoja na kuwajibika!