Mitandao ya kijamii:

RSS:

Radio Vatican

Sauti ya Papa na Kanisa katika majadiliano na ulimwengu

Lugha:

Baraza la Maaskofu Katoliki Poland

Baraza la Maaskofu Katoliki Poland linawapongeza wabunge waliosimama kidete kutetea Injili ya uhai dhidi ya utamaduni wa kifo!

Baraza la Maaskofu Katoliki Poland linawapongeza wabunge waliosimama kidete kutetea Injili ya uhai dhidi ya utamaduni wa kifo.

Maaskofu Poland wawapongeza wabunge kwa kusitisha utoaji mimba!

20/03/2018 12:08

Baraza la Maaskofu Katoliki Poland linaipongeza familia ya Mungu nchini humo kwa kusimama kidete kulinda, kutetea na kudumisha Injili ya uhai dhidi ya utamaduni wa kifo uliotaka kuhalalishwa kwa njia ya muswada wa sheria ya utoaji mimba! Huu ulikuwa ni ukiukwaji wa haki msingi za binadamu!

Miaka 5 ya maisha na utume wake, Papa Francisko anawaalika waamini na watu wenye mapenzi mema kumsindikiza kwa sala na sadaka zao!

Miaka 5 ya maisha na utume wake, Papa Francisko anaendelea kuwaalika waamini pamoja na watu wote wenye mapenzi mema kumsindikiza katika maisha na utume wake kama Khalifa wa Mtakatifu Petro!

Miaka 5 tangu Papa Francisko achaguliwe kuliongoza Kanisa Katoliki!

12/03/2018 10:16

Tangu mwanzo wa maisha na utume wake kama Khalifa wa Mtakatifu Petro, Baba Mtakatifu Francisko amekuwa daima akiwaomba waamini pamoja na watu wote wenye mapenzi mema kumsindikiza kwa sala na sadaka zao ili aweze kutekeleza vyema dhamana na wajibu wake kwa Kanisa la Kristo!

Tarehe 2 Februari ni siku ya watawa duniani, siku iliyo anzishwa na Mt. Yohane Paulo II miaka 22 iliyopita

Tarehe 2 Februari ni siku ya watawa duniani, siku iliyo anzishwa na Mt. Yohane Paulo II miaka 22 iliyopita

Ni watawa 31,000 nchini Poland wanao mtumikia Mungu na jirani!

02/02/2018 15:04

Hotuba ya Askofu Jacek Kiciński na mwenyekiti wa Tume kwa ajili ya Taasisi,mashirika na vyama vya kitume wa Baraza la Maaskofu wa Poland,anasema,watawa katika dunia ni gurudumu la kuhamasisha upendo wa Mungu kati ya watu na wajenzi wa utamaduni wa umoja

 

 

Miaka 75 tangu alipofariki dunia Mt. Theresa Benedetta wa Msalaba, Edith Stein.

Miaka 75 tangu alipofariki dunia Mt. Theresa Benedetta wa Msalaba, Edith Stein.

Miaka 75 tangu alipofariki dunia Mt. Edith Stein: toba na wongofu!

08/08/2017 12:10

Baraza la Maaskofu Katoliki Poland linaadhimisha Jubilei ya Miaka 75 tangu alipofariki dunia Mtakatifu Theresa Benedetta wa Msalaba, kwa kuwataka waamini pamoja na watu wote wenye mapenzi mema Barani Ulaya kurejea tena kwenye misingi ya Ukristo; utu wema na kanuni maadili!