Mitandao ya kijamii:

RSS:

Radio Vatican

Sauti ya Papa na Kanisa katika majadiliano na ulimwengu

Lugha:

Baraza la Maaskofu Katoliki Nicaragua

Baraza la Maaskofu Katoliki Nicaragua lina laani mashambulizi dhidi ya viongozi wa Kanisa.

Baraza la Maaskofu Katoliki Nicaragua lina laani sana mashambulizi dhidi ya viongozi wa Kanisa nchini humo.

Viongozi wa Kanisa washambuliwa nchini Nicaragua! Maaskofu washutumu!

10/07/2018 15:30

Baraza la maaskofu Katoliki Nicaragua pamoja na Baraza la Maaskofu katoliki Costa Rica wameungana pamoja kulaani mashambulizi dhidi ya viongozi wa Kanisa yaliyofanywa huko nchini Nicaragua wakati viongozi hao walipokuwa wakitekeleza utume wao wa kuwafariji maskini na wagonjwa!

Papa Francisko anaungana na Maaskofu Katoliki Nicaragua kulaani ghasia, vurugu na mauaji ; Kanisa litaendeleza majadiliano katika ukweli na uwazi.

Papa Francisko anaungana na Maaskofu Katoliki Nicaragua kulaani ghasia, vurugu na mauaji ya watu wasiokuwa na hatia. Kanisa linataka kujikita katika majadiliano katika ukweli na uwazi.

Papa Francisko: Ghasia Nicaragua: Dumisheni maisha na majadiliano

04/06/2018 09:08

Baba Mtakatifu Francisko anaungana na Baraza la Maaskofu Nicaragua kulaani vitendo vya vurugu na ghasia ambavyo vimesababisha watu kadhaa kupoteza maisha na wengine wengi kujeruhiwa vibaya. Anasema, Kanisa linakazia umuhimu wa kuheshimu zawadi ya maisha na kudumisha majadiliano katika ukweli!