Mitandao ya kijamii:

RSS:

Radio Vatican

Sauti ya Papa na Kanisa katika majadiliano na ulimwengu

Lugha:

Baraza la Maaskofu Katoliki Chile

Papa Francisko asikitishwa sana na taarifa ya nyanyaso za kijinsia zilizofanywa na viongozi wa Kanisa nchini Chile.

Papa Francisko asikitishwa sana na nyanyaso za kijinsia zilizofanywa na viongozi wa Kanisa nchini Chile.

Papa Francisko asikitishwa sana na kashfa ya nyanyaso za kijinsia!

12/04/2018 15:24

Baba Mtakatifu Francisko amepokea taarifa ya uchunguzi wa nyanyaso za kijinsia zilizofanywa na baadhi ya viongozi wa Kanisa nchini Chile na kuonesha masikitiko yake makubwa kutokana na kuzama katika ombwe lililomfanya kushindwa kupembua hali kwa ufasaha na hivyo kusababisha mateso kwa watu

Papa Francisko anamshukuru Mungu kwa kumwezesha kufanikisha hija yake ya kitume Amerika ya Kusini.

Papa Francisko anamshukuru Mungu kwa kumwezesha kuhitimisha hija ya kitume nchini Amerika ya Kusini.

Papa Francisko ataja yale "yaliyomkuna" huko Amerika ya Kusini

24/01/2018 11:07

Baba Mtakatifu wakati wa katekesi yake, Jumatano tarehe 24 Januari 2018 licha ya kugusia umuhimu wa waamini kushiriki kikamilifu katika mchakato wa kuombea umoja wa Kanisa, amewashirikisha pia waamini na mahujaji kuhusu mambo msingi yaliyojiri wakati wa hija yake ya kitume Amerika ya Kusini!

Papa Francisko anawataka Maaskofu kujikita katika malezi ya wakleri, maisha na utume wa waamini walei pamoja na dhan aya Sinodi ili kujenga udugu.

Papa Francisko anawataka Maaskofu kujikita katika malezi ya wakleri wao; wito, maisha na utume wa waamini walei pamoja na kumwilisha dhana ya sinodi kama sehemu ya mchakato wa ujenzi wa udugu na umoja ndani ya Kanisa.

Papa: Maaskofu jikiteni zaidi katika malezi, maisha, utume na sinodi

17/01/2018 12:00

Baba Mtakatifu Francisko anawataka Maaskofu kuhakikisha kwamba, wanajielekeza zaidi katika malezi ya awali na endelevu ya wakleri wao ili kukabiliana na changamoto mamboleo; wakuze na kudumisha wito, maisha na utume wa waamini walei sanjari na kujenga dhana ya sinodi kielelezo cha udugu!

Hija ya kitume ya Papa Francisko nchini Chile inapania kuwaimarisha ndugu zake katika imani, matumaini na mapendo!

Hija ya kitume ya Papa Francisko nchini Chile inapania kuwaimarisha ndugu zake katika imani, matumaini na mapendo!

Familia ya Mungu nchini Chile inataka kujenga utamaduni wa amani!

15/01/2018 09:53

Baba Mtakatifu Francisko anatembelea Chile, miaka 30 baada ya Mtakatifu Yohane Paulo II kutembelea nchini humo, changamoto kwa wakati huu ni kujenga utamaduni wa amani unaosimikwa katika tunu za maisha ya kiroho na kiutu kwa kutambua kwamba, amani ni tunda la haki inayomwilishwa katika maisha!

Waraka wa Maaskofu Katoliki Chile: Majadiliano, uwajibikaji na huruma kwa ajili ya Chile inayosimikwa katika haki.

Waraka wa Maaskofu Katoliki Chile: Majadiliano, uwajibikaji na huruma kwa ajili ya Chile inayosimikwa katika haki!

Majadiliano, uwajibikaji na huruma kwa ajili ya haki nchini Chile!

15/01/2018 08:12

Maadhimisho ya Mwaka Mtakatifu wa Jubilei ya huruma ya Mungu ilikuwa ni fursa kwa Baraza la Maaskofu nchini Chile kufanya upembuzi yakinifu kuhusu changamoto, fursa na matatizo yaliyokuwa yanawakumba wananchi wa Perù ili yaweze kuvaliwa njuga kadiri ya fursa na nafasi zilizopo! Lakini....!

Papa Francisko kuanzia tarehe 15-18 Jan. 2018 atafanya hija ya kitume nchini Perù: Kauli mbiu:"Amani yangu nawapa"

Papa Francisko kuanzia tarehe 15-18 Januari 2018 atafanya hija ya kitume nchini Chile kwa kuongozwa na kauli mbiu "Amani yangu nawapa".

Hija ya Papa Francisko nchini Chile, 2018: Amani yangu nawapa!

21/08/2017 10:40

Hija ya kitume ya Baba Mtakatifu Francisko nchini Chile kuanzia tarehe 15- 18 Januari 2018 inaongozwa na kauli mbiu "Amani yangu nawapa". Baraza la Maaskofu Katoliki chini Chile linasema, kauli mbiu hii inafafanua utambulisho wa familia ya Mungu nchini Chile katika mchakato wa kutafuta amani!