Mitandao ya kijamii:

RSS:

Radio Vatican

Sauti ya Papa na Kanisa katika majadiliano na ulimwengu

Lugha:

Baraza la Maaskofu Katoliki Burundi

Wasiwasi wa Maaskofu nchini Burundi kuhusiana na kura ya maoni juu ya mabadiliko ya Katiba ya nchi

Wasiwasi wa Maaskofu nchini Burundi kuhusiana na kura ya maoni juu ya mabadiliko ya Katiba ya nchi kuhusu kubadili ibara ya 299

Maaskofu wa Burundi kuwataka wanachi umakini wa kura ya maoni ya Katiba!

10/05/2018 14:23

Hivi karibuni umetolewa ujumbe wa Baraza la Maakofu Katoliki nchni Burundi kuhusu upigaji wa kura ya maoni ya Katiba itakayofanyika tarehe 17 Mei 2018. Katika ujumbe huo,Kanisa Katoliki la Burundi, linashutumu vikali juu ya pendekezo la maoni ya kutaka kubadili ibara ya 299 ya Katiba ya nchi

 

 

Ukusanyaji wa kodi ya uchaguzi mkuu 2020 uzingatie misingi ya ukweli, uwazi na uwajibikaji kwa wote!

Ukusanyaji wa kodi ya uchaguzi mkuu nchini Burundi kwa mwaka 2020 uzingatie misingi ya ukweli, uwazi na uwajibikaji wa wote.

Maaskofu Burundi: Ukweli na uwazi katika fedha ya uchaguzi mkuu

16/04/2018 11:28

Baraza la maaskofu Katoliki Burundi linasema, mchakato wa uchaguzi mkuu ni zoezi muhimu sana katika kukuza na kudumisha uhuru wa wananchi na demokrasia, lakini linapaswa kuendeshwa katika misingi ya ukweli na uwazi mintarafu kodi ya uchaguzi mkuu kwa mwaka 2020.