Mitandao ya kijamii:

RSS:

Radio Vatican

Sauti ya Papa na Kanisa katika majadiliano na ulimwengu

Lugha:

Baraza la Maaskofu Katoliki Afrika ya Kusini

SACBC linasema, uchunguzi wa kina ufanywe dhidi ya Bw. Jacob Zuma, ukweli usemwe, sheria ichukue mkondo wake na haki itendeke!

SACBC linasema, uchunguzi wa kina ufanyike dhidi ya Bw. Jacob Zuma, ili ukweli ufahamike, sheria ichukue mkondo wake na haki kutendeka.

Kung'oka kwa Jacob Zuma uwe ni mwanzo wa sheria kushika mkondo wake

18/02/2018 07:30

Baraza la Maaskofu Katoliki Afrika ya Kusini, SACBC linasema, kung'oka kwa Rais Jacob Zuma kutoka madarakani uwe ni mwanzo wa mchakato wa uchunguzi wa kina juu ya shutuma za rushwa na ufisadi zinazomkabili Bwana Jacob Zuma, ili ukweli ufahamike, sheria kushika mkondo na haki kutendeka.

Baraza la Maaskofu Katoliki Afrika ya Kusini linamwomba Rais Zuma kung'atuka madarakani kwa ajili ya mafao ya umma.

Baraza la Maaskofu Katoliki Afrika ya Kusini lina mshauri rais Jacob Zuma kufanya maamuzi magumu ya kung'atuka kutoka madarakani kwa ajili ya mafao ya umma kwani kwa sasa hali ni tete sana nchini Afrika ya Kusini.

Rushwa na ufisadi vinawapekenya sana wananchi wa Afrika ya Kusini

10/02/2018 17:26

Baraza la Maaskofu Katoliki Afrika ya Kusini linasema kwamba, hali kwa sasa ni tete sana Afrika ya Kusini kutokana na kashfa pamoja na tuhuma mbali mbali hasa kuhusiana na rushwa na ufisadi wa mali ya umma zinazomwandama Rais Jacob Zuma, kiasi cha wananchi wengi kukosa imani naye!

Saratani ya rushwa ina madhara yake katika medani mbali mbali za maisha ya binadamu!

Saratani ya rushwa ina madhara makubwa katika medani mbali mbali za maisha ya binsamu.

Saratani ya rushwa na ufisadi inavyoisambaratisha jamii!

22/07/2017 09:22

Rushwa na ufisadi ni saratani inayosambaratisha mafungamano na mshikamano wa kijamii katika medani mbali mbali za maisha ya binadamu. Rushwa inatia doa uhusiano kati ya Mungu na binadamu kumbe, haina budi kushughulikiwa kwa kujikita katika: uaminifu, uadilifu, utu wema, unyofu na sheria!