Mitandao ya kijamii:

RSS:

Radio Vatican

Sauti ya Papa na Kanisa katika majadiliano na ulimwengu

Lugha:

Baraza la Kipapa la Walei, Familia na Maisha

Mama Kanisa kwa Mwaka 2018-2019 anakazia: Utume wa Vijana na Maisha ya Ndoa na Familia.

Mama Kanisa kwa Mwaka 2018-2019 anakazia utume wa vijana na maisha ya ndoa na familia.

Vipaumbele vya Kanisa kwa Mwaka 2018-2019: Vijana na familia

21/07/2018 08:41

Mama Kanisa kanisa katika mwaka 2018-2019 anapenda kujielekeza zaidi katika utume kwa vijana, ili kujenga sanaa na utamaduni wa kuwasikiliza, kuwasindikiza na kuwaongoza vijana kufanya maamuzi mazito katika maisha. Pili ni utume wa maisha ya ndoa na familia, ili kutangaza Injili ya familia. 

Kanisa la Korea ya kusini katika harakati za kutetea maisha

Kanisa la Korea ya kusini katika harakati za kutetea maisha

Kanisa la Korea katika jitihada za kutetea maisha ya binadamu tangu kutungwa!

23/06/2018 15:14

Hivi karibuni, kumefanyika maandamano makubwa kwa roho ya wakatoliki nchini Korea katika mji wa Seoul kwa ajili ya utetezi wa maisha ambapo wanasema kuwa hakuna kuruhusu sheria ya utoaji mimba, wakionesha juhudi kubwa ya utetezi wa maisha ya binadamu tangu kutungwa kwake hadi mwisho

 

Kanisa na Michezo: Waraka: Kujitoa Kikamilifu: Mtazamo wa Kikristo kuhusu michezo na binadamu.

Kanisa na Michezo: Waraka: Kujitoa Kikamilifu: Mtazamo wa Kikristo kuhusu michezo na binadamu.

KOMBE LA DUNIA 2018: Mtazamo wa Kikristo kuhusu michezo na binadamu

12/06/2018 11:00

Baba Mtakatifu Francisko anasema, michezo inayo nafasi muhimu sana katika mchakato wa uinjilishaji mpya kwani ni nyenzo msingi katika kusimamia na kudumisha haki msingi za binadamu; ni njia ya mchakato wa utakatifu; ni mahali muafaka pa kuonja uzuri na utakatifu wa kazi ya uumbaji, umoja na udugu.

Kujitoa kikamilifu ndiyo jina la Waraka mpya wa Baraza la kipapa Walei Familia na maisha kuhusu mchezo katika mtazamo wa kikristo!

Kujitoa kikamilifu ndiyo jina la Waraka mpya wa Baraza la kipapa Walei Familia na maisha kuhusu mchezo katika mtazamo wa kikristo!

Kujitoa kikamilifu ni Waraka mpya wa Baraza la Kipapa Walei familia na maisha

04/06/2018 15:04

Kanisa ni nyumba ya mchezo,kiwanja cha maisha na imani. Kujitoa kikamilifu ndiyo Mada ya Waraka uliowakilishwa kwa vyombo va habari na Baraza la Kipapa,Walei,Familia na Maisha.Ni mzito wa mafundisho ya Mapapa na Kanisa juu ya Mchezo kwa mantiki ya mtazamo wa maisha ya kikristo. 

 

Wanawake Wakatoliki wanamshukuru na kumpongeza Papa Francisko kwa kuwajali na kuwashirikisha kikamilifu katika maisha na utume wa Kanisa.

Wanawake Wakatoliki wanamshukuru na kumpongeza Baba Mtakatifu Francisko kwa kuwathamini na kuwashirikisha kikamilifu katika maisha na utume wa Kanisa.

Wanawake Wakatoliki wampongeza Papa Francisko kwa kuwajali!

30/05/2018 10:41

Shirikisho la Vyama vya Wanawake Wakatoliki Duniani linamshukuru na kumpongeza Baba Mtakatifu Francisko kwa kuwathamini na kuwajali wanawake kiasi kwamba, kwa sasa wanapaswa kujisikia kuwa kweli ni sehemu muhimu sana ya maisha na utume wa Kanisa! Wanawake wasibaki nyuma tena!

Rehema kamili kutolewa na Mama Kanisa kwa waamini watakaotimiza masharti wakati wa maadhimisho ya Siku ya Familia Duniani 2018.

Rehema kamili kutolewa na Mama Kanisa kwa waamini watakaotimiza masharti yanayotolewa na Mama Kanisa wakati wa maadhimisho ya Siku ya Familia Duniani kwa Mwaka 2018.

Papa Francisko: Siku ya Familia Duniani, 2018: Rehema kamili kutolewa

23/05/2018 15:44

Baba Mtakatifu Francisko anasema, rehema kamili itatolewa kwa waamini watakaojiandaa barabara kuadhimisha Siku ya IX ya Familia Duniani huko Jimbo kuu la Dublin, kuanzia tarehe 22 - 26 Agosti 2018. Waamini wanaalikwa kuzingatia masharti yaliyowekwa na Mama Kanisa ili kupata rehema kamili!

Tarehe 4-5 Mei imefanyika semina juu ya kuelimisha vijana katika mwanga Wosia wa Baba Mtakatifu wa Furaha ya Upendo ndani ya Familia

Tarehe 4-5 Mei imefanyika semina juu ya kuelimisha vijana katika mwanga Wosia wa Baba Mtakatifu wa Furaha ya Upendo ndani ya Familia

Semina juu ya kuelimisha vijana katika mwanga wa Amoris Laetitia!

14/05/2018 15:43

Th.4-5 Mei 2018 imefanyika semina ya pili  kimataifa ya mtandao wa wataalam ambao wanajifunza na tafiti za elimu kwa mantiki ya kihisia na  kijinsia.Semina imeandaliwa na Baraza la Kipapa la Walei,Familia na Maisha kwa kuongozwa na mada ya Kuelimisha vijana katika mwanga wa Amoris Laetitia

 

Vijana ni jeuri na matumaini ya Kanisa na Jamii katika ujumla wake, wawezeshwe: kiimani, kimaadili na kiutu ili kukabiliana na changamoto za ujana!

Vijana ni jeuri na matumaini ya Kanisa na Jamii katika ujumla wake, wawezeshwe: kiimani, kimaadili, kiutu na kitamaduni ili waweze kukabiliana na changamoto, matatizo na fursa za maisha ya ujana wao kwa ajili ya ustawi, maendeleo na mafao ya wengi.

Vijana ni jeuri na matumaini ya Kanisa na Jamii! Msiogope!

16/03/2018 06:37

Baba Mtakatifu Francisko katika kipindi cha miaka mitatu kama sehemu ya maandalizi ya maadhimisho ya Siku ya Vijana Duniani, amekuwa akiwaalika kutafakari kwa kina utenzi wa Bikira Maria yaani "Magnificat" kama njia ya kupambana na changamoto, matatizo na fursa katika maisha ya ujana!