Mitandao ya kijamii:

RSS:

Radio Vatican

Sauti ya Papa na Kanisa katika majadiliano na ulimwengu

Lugha:

Baraza la Kipapa la Utamaduni

Papa Francisko, amekutana na kuzungumza na watoto wanaoishi katika mazingira magumu na hatarishi kwa kukazia elimu na malezi bora!

Papa Francisko amekutana na kuzungumza na watoto wanaoishi katika mazingira magumu na hatarishi kwa kukazia umuhimu wa malezi na elimu kwa makuzi na malezxi ya waoto.

Watoto wanaoishi katika mazingira magumu wakutana na Papa! Yaani...!

11/06/2018 13:50

Baba Mtakatifu Francisko amekutana na kuzungumza na watoto wanaotoka katika mazingira magumu na hatarishi. Amekazia umuhimu wa familia na shule kama vitovu muhimu kwa malezi na makuzi ya watoto. Amewataka watoto kujikita zaidi katika elimu, ili kutumia vyema akili, nyoyo na mikono hayo!

Papa Francisko: Mpango mkakati wa maboresho ya huduma ya afya duniani uzingatie: kukinga, kurekebisha, kutibu na kujiandaa kwa siku za usoni.

Papa Francisko: Mpango mkakati wa maboresho ya huduma ya afya duniani hauna budi kuzingatia mambo yafuatayo: kukinga, kurekebisha, kutibu na kujiandaa kwa siku za usoni.

Mpango mkakati wa maboresho ya afya ya umma unapaswa kuwa shirikishi

28/04/2018 14:15

Baba Mtakatifu Francisko anasema mpango mkakati wa maboresho ya huduma ya afya duniani hauna budi kujikita katika mambo makuu manne: kukinga, kurekebisha, kutibu na kujiandaa ili kuweza kukabiliana na changamoto za afya binadamu kwa siku za usoni, daima ustawi wa mgonjwa ukizingatiwa!

Jukwaa la sayansi ya tiba ya mwanadamu kuwakutanisha vigogo wa sayansi, watunga sera, viongozi wa serikali na kidini.

Jukwa la sayansi ya tiba ya mwanadamu litakalofanyika mjini Vatican kuanzia tarehe 26- 28 Aprili 2018 litawakutanisha vigogo wa sayansi, watunga sera, viongozi wa serikali na wa kidini ili kuibua mpango mkakati wa maboresho ya huduma ya afya duniani.

Vigogo wa sayansi ya afya ya binadamu na watunga sera kukutana Vatican

02/03/2018 14:08

Jukwaa la sayansi ya afya ya binadamu litakalowakutanisha vigogo wa sayansi, watunga sera, viongozi wa serikali na dini linatarajiwa kufanyika mjini Vatican kuanzia tarehe 26- 28 Aprili 2018 kwa kuongozwa na kauli mbiu "Mpango mkakati wa maboresho ya huduma ya afya". Hii ni changamoto endelevu.