Mitandao ya kijamii:

RSS:

Radio Vatican

Sauti ya Papa na Kanisa katika majadiliano na ulimwengu

Lugha:

Baraza la Kipapa kwa ajili ya Wakleri

Mwongozo wa malezi ya kipadre: mkazo ni: utu, tasaufi na huduma kwa watu wa Mungu!

Mwongozo wa malezi ya kipadre: mkazo ni utu, tasaufi na huduma kwa watu wa Mungu.

Malezi ya Kipadre yazingatie: Utu, tasaufi na huduma makini!

23/04/2018 09:47

Mwongozo wa Malezi ya Kipadre katika mapambazuko ya Millenia ya tatu ya Ukristo unakazia umuhimu wa kuwafunda majandokasisi kiutu, ili waweze kukomaa, pili ni tasaufi ya maisha na wito wa kipadre unaowataka kujisadaka bila ya kujibakiza na hatimaye, watambue kwamba, wao ni watu wa huduma.

Mwaka wa Padre Tanzania: Malezi, maisha, utume na mambo msingi ya kuzingatiwa na Mapadre wenyewe!

Mwaka wa Padre Tanzania: Malezi: awali na endelevu; maisha, wito na utume pamoja na mambo msingi wanayopaswa kuzingatiwa na Mapadre.

Mwaka wa Padre Tanzania: Uchambuzi wa malezi, maisha na utume wake!

12/08/2017 12:36

Familia ya Mungu nchini Tanzania inaadhimisha Jubilei ya Miaka 150 ya Uinjilishaji Tanzania Bara sanjari na Jubilei ya Miaka 100 tangu Tanzania ilipopata Mapadre wa kwanza wazalendo. Leo hii tunaangalia: malezi, maisha, utume na mambo yanayopaswa kupewa kipaumbele cha kwanza na Mapadre!

Mapadri wachote nguvu ya maisha na utume wao kutoka kwa Moyo Mtakatifu wa Yesu

Mapadri wachote nguvu ya maisha na utume wao kutoka kwa Moyo Mtakatifu wa Yesu.

Kard. Stella, mapadri wajenge urafiki na Kristo

23/06/2017 13:40

Kanisa linapoadhimisha Sikukuu ya Moyo Mtakatifu wa Yesu, siku ya kuombea utakatifu wa Mapadri, Kardinali Beniamino Stella, Mwenyekiti wa Baraza la Kipapa kwa ajili ya Wakleri anawaasa wakleri kujenga urafiki wa karibu na Kristo, kuishi udugu wa kipadri na kujitathimini utume wao.