Mitandao ya kijamii:

RSS:

Radio Vatican

Sauti ya Papa na Kanisa katika majadiliano na ulimwengu

Lugha:

Baraza la Kipapa kwa ajili Makanisa ya Mashariki

Pamoja na utume unaotolewa na Chuo Kikuu cha Gregoriani na Taasisi ya Biblia, Baba Mtakatifu anasisitiza kuwa, kuna hata Taasisi ya Mashariki

Pamoja na utume unaotolewa na Chuo Kikuu cha Gregoriana na Taasisi ya Biblia, Baba Mtakatifu anasisitiza kuwa, kuna hata Taasisi ya Mashariki

Ujumbe wa Papa kwa Miaka 100 ya Baraza la Kipapa kwa Makanisa ya Mashariki

12/10/2017 15:36

Pamoja na utume unaotolewa na Chuo Kikuu cha Gregoriani naTaasisi ya Biblia,Baba Mtakatifu anasisitiza kuna hata Taasisi ya Mashariki inapaswa kutambuliwa kwa wote.Kuna umuhimu wa kuhakikisha Taasisi inakuwa thabiti kwa walezi wa Kiyesuit kwa kuwasadia katika malezi yao

 

 

Baraza la Kipapa Kwa Makanisa ya Mashariki linaadhimisha Jubilei ya Miaka 100 tangu kuanzishwa kwake na Miaka 25 ya Sheria za Makanisa Mashariki

Baraza la Kipapa Kwa Makanisa ya Mashariki linaadhimisha Miaka 100 tangu kuanzishwa kwake na Miaka 25 ya Gombo la Sheria za Makanisa ya Mashariki.

Jubilei ya Miaka 100 ya Baraza la Kipapa la Makanisa ya Mashariki

09/10/2017 09:21

Baraza la Kipapa kwa Makanisa ya Mashariki linaadhimisha Jubilei ya Miaka 100 tangu kuanzishwa kwake, Jubilei ya Miaka 25 tangu kuchapishwa Gombo la Sheria kwa Makanisa ya Mashariki sanjari na Mkutano mkuu wa Baraza hili kwa mwaka 2017l. Matukio haya yanapambwa kwa uwepo wa Papa Francisko.

Papa Francisko anawaomba Mababa wa Sinodi ya Kanisa la Caldea, kuimarisha upatanisho wa kitaifa, iili kukabiliana na changamoto zilizoko mbele yao!

Papa Francisko anawaomba Mababa wa Sinodi ya Kanisa la Caldea kuimarisha upatanisho wa kitaifa ili kukabiliana na changamoto zilizoko mbele yao!

Papa Francisko: Imarisheni upatanisho wa kitaifa ili kujenga Iraq

06/10/2017 06:17

Baba Mtakatifu Francisko anawaalika Mababa wa Sinodi ya Kanisa la Caldea kujizatiti kikamilifu katika mchakato wa upatanisho wa kitaifa nchini Iraq, ili hatimaye, waweze kukabiliana na changamoto zilizoko mbele yao kama: uhamiaji wa nguvu dhidi ya Wakristo, ujenzi wa vijiji na miito mitakatifu!

Kardinali Leonardo Sandri, misaada kwa makanisa hitaji, ufuasi wa nyayo za Kristo

Kardinali Leonardo Sandri, misaada kwa makanisa hitaji, ufuasi wa nyayo za Kristo.

Mshikamano na ukarimu kwa makanisa hitaji kunalipendezesha Kanisa

21/06/2017 12:40

Kardinali Leonardo Sandri, Mwenyekiti wa Baraza la kipapa kwa ajili ya makanisa ya mashariki, katika Misa ya ufunguzi wa mkutano mkuu wa Shirika la misaada kwa makanisa hitaji, ROACO, amesema kwamba mshikamano na ukarimu wa namna hiyo unalipendezesha Kanisa, mchumba wa Kristo.

Waamini waalikwa wajitose ulingoni kuuchumilia utakatifu

Waamini waalikwa wajitose ulingoni kuuchuchumilia utakatifu katika maisha ya kila siku

Waamini msiishie utazamaji, jitoseni ulingoni kuchuchumilia utakatifu

14/06/2017 14:16

Kardinali Leonardo Sandri, Mwenyekiti wa Baraza la Kipapa kwa ajili ya Makanisa ya Mashariki, awaalika waamini katika kumbukumbu ya mtakatifu Antoni wa Padua, kutoishia kushabikia watakatifu, bali wajitose pia ulingoni ili kuchuchumilia utakatifu katika maisha ya kila siku.

Kardinali Leonardo Sandri amehitimisha ziara yake ya kikazi nchini Australia kwa kuhimiza: umoja na mshikamano; ushuhuda, upendo, mshikamano na huduma

Kardinali Leonardo Sandri amehitimisha ziara yake ya kikazi nchini Australia kama sehemu ya maadhimisho ya Jubilei ya miaka 100 tangu kuanzishwa kwa Baraza la Kipapa kwa ajili ya Makanisa ya Mashariki, amekazia umoja, upendo, mshikamano na huduma kwa maskini, wakimbizi na wahamiaji.

Kardinali Sandri mkazo: Umoja wa Kanisa na ukarimu kwa maskini!

18/05/2017 07:30

Kardinali Leonardo Sandri amehitimisha safari yake ya kikazi nchini Australia kama sehemu ya maadhimisho ya Jubilei ya Miaka 100 tangu Baraza la Kipapa kwa ajili ya Makanisa ya Mashariki lilipoanzishwa. Amekazia umuhimu wa kujenga na kudumisha umoja na mshikamano na huduma kwa maskini zaidi!