Mitandao ya kijamii:

RSS:

Radio Vatican

Sauti ya Papa na Kanisa katika majadiliano na ulimwengu

Lugha:

Baraza la Kiinjili la Kiluteri Finland

Olav F.Tveit amesema, inawezekana kufikia mwaka 2050 nchi ya China ikaongoza kuwa na wakristo wengi zaidi katika ulimwengu

Olav Fykse Tveit amesema, inawezekana kufikia mwaka 2050 nchi ya China ikaongoza kuwa na wakristo wengi zaidi katika ulimwengu

Dk.Tveit amesema nchi ya china itaongoza kwa wingi wa wakristo 2050!

11/01/2018 09:04

Katibu Mkuu wa Baraza la Kiekumene la Makanisa Duniani,Dk.Olav amefanya maadhimisho ya miaka 70 ya Baraza hilo katika Kanisa la Chongwemen nchini China;mahali ambapo amesema kuwa,kufikia mwaka 2050 nchi ya China inawezakana ikawa nchi yenye wakristo wengi zaidi katika ulimwengu. 

 

Baba Mtakatifu Francisko anasema Uekumene wa kweli unafumbatwa katika toba, wongofu wa ndani, damu, huduma, sala na maisha ya kiroho.

Baba Mtakatifu Francisko anasema, Uekumene wa kweli unafumbatwa katika toba, wongofu wa ndani, sala, damu na maisha ya kiroho.

Papa: Martin Luther alitaka kulipyaisha na wala si kuligawa Kanisa!

19/01/2017 14:11

baba Mtakatifu Francisko anasema, Uekumene wa kweli unafumbatwa katika toba na wongofu wa ndani kwa kutambua kwamba, Wakristo wote ni sehemu ya Fumbo la Mwili wa Kristo yaani Kanisa, wanapaswa kutubu, kuongoka na kumshuhudia Kristo Yesu kwa njia ya Uekumene wa huduma na damu!