Mitandao ya kijamii:

RSS:

Radio Vatican

Sauti ya Papa na Kanisa katika majadiliano na ulimwengu

Lugha:

Baraza Kipapa Huduma Endelevu ya Binadamu

Papa Francisko kuhusu wakimbizi na wahamiaji anakazia: Kuwapokea, kuwalinda, kuwaendeleza na kuwahusisha katika uhalisia wa maisha ya jamii husika.

Papa Francisko kuhusu wakimbizi anakazia umuhimu wa kuwapokea, kuwalinda, kuwaendeleza na kuwahusisha katika uhalisia wa maisha ya jamii inayowahifadhi.

Ujumbe wa Papa Francisko: Siku ya Wakimbizi na Wahamiaji Duniani 2018

11/01/2018 07:04

Mama Kanisa anaadhimisha Siku ya Wakimbizi na Wahamiaji Duniani tarehe 14 Januari 2018. Baba Mtakatifu Francisko katika ujumbe wake kwa siku hii anakazia kwa namna ya pekee umuhimu wa: kuwapokea, kuwalinda, kuwaendeleza na kuwahusisha wakimbizi na wahamiaji katika uhalisia wa maisha!

Papa anasema, kazi iwe ni kwa ajili ya binadamu, kwa maana mtu ni kitovu cha maisha na siyo biashara

Papa anasema, kazi iwe ni kwa ajili ya binadamu, kwa maana mtu ni kitovu cha maisha na siyo biashara

Papa:Kazi iwe ni kwa ajili ya binadamu kwa maana mtu ni kitovu cha maisha!

26/11/2017 11:22

Kazi lazima ielekezwe kwa njia ya mfano wa maendeleo endelevu ambayo inajikitia katika mshikamano wa binadamu wote wa dunia hii.Hayo ndiyo maneno Baba Mtakatifu Francisko katika barua yake aliyomtumia Kardinali P.Turkson Mwenyekiti wa Baraza la Kitume la huduma endelevu ya Binadamu 

 

Ujumbe wa Papa  kwa Siku ya Amani Duniani 2018 anasema,tutazame wahamiaji kwa imani na si tishio bali fursa ya fursa ya wakati wao endelevu

Ujumbe wa Papa kwa Siku ya Amani Duniani 2018 anasema,tutazame wahamiaji kwa imani na si tishio bali fursa ya fursa ya wakati wao endelevu

Papa:Ujumbe wa Siku ya Amani Duniani 2018:Tutazame wahamiaji kwa imani

25/11/2017 09:15

Kuwatazama wahamiaji  katika sayari hii kwa mtazamo uliojaa imani na kuwafikiria kuwa si tishio bali ni fursa ya kujenga wakati ujao.Hayo ni maneno yaliyomo katika Ujumbe wa Baba Mtakatifu Francisko kwa Siku ya Amani  Duniani kwa Mwaka 2018 ulitolewa Ijumaa 24 Novemba 2017.

 

Papa Francisko amemteua Padre Bruno Marie Duffè kuwa Katibu mkuu wa Baraza la Kipapa la Huduma ya Maendeleo Endelevu ya Binadamu.

Papa Francisko amemteua Padre Bruno Marie Duffè kutoka Lyon, Ufaransa kuwa Katibu mkuu wa kwanza wa Baraza la Kipapa la Huduma ya Maendeleo Endelevu ya Binadamu.

Padre Bruno Marie Duffè ateuliwa kuwa Katibu mkuu wa Baraza la Kipapa

16/06/2017 17:22

Mheshimiwa sana Padre Bruno Marie Duffè kutoka Jimbo Katoliki la Lyons, Ufaransa ameteuliwa na Baba Mtakatifu Francisko kuwa Katibu mkuu wa Baraza la Kipapa la Huduma ya Maendeleo Endelevu ya Binadamu lililoanzishwa hivi karibuni kama sehemu ya mchakato wa mageuzi yanayoendelea!