Mitandao ya kijamii:

RSS:

Radio Vatican

Sauti ya Papa na Kanisa katika majadiliano na ulimwengu

Lugha:

Bara la Ulaya

Kardinali Bassetti asema, Bara la Ulaya bado lina kiu ya tunu msingi za Kikristo!

Kardinali Bassetti asema, Bara la Ulaya bado lina kiu ya tunu msingi za Kikristo!

Kardinali Bassettti: Ulaya bado ina kiu ya tunu msingi za Kikristo!

11/07/2018 16:58

Baba Mtakatifu Francisko katika maadhimisho ya Siku kuu ya Mtakatifu Benedikto Abate anasema, umefika wakati kwa Bara la Ulaya kugundua tena fadhila ya matumaini, kwa kumweka mwanadamu kuwa ni kiini cha taasisi zake. Kardinali Bassetti anakaza kusema, Ulaya ina kiu ya tunu msingi za Kikristo!

Papa Francisko  amejikita kuelezea maana ya Ulaya kwa lengo kuu la kutaka  kurudisha uzalendo wake na kukabiliana na changamoto mpya ya wakati  huu

Papa Francisko amejikita kuelezea maana ya Ulaya kwa lengo kuu la kutaka kurudisha uzalendo wake na kukabiliana na changamoto mpya ya wakati ili kuweza kung’amua njia mpya za matumaini.

Kitabu kipya cha kufikiria maendeleo endelevu na mahusiano Ulaya kuchapishwa!

03/05/2018 16:48

Kufikiria kwa upya maendeleo endelevu ya mahusiano,hotuba za Papa juu ya Ulaya,ndiyo kitabu kilicho andikwa na ambacho kitatolewa na Duka la vitabu Vatican.Kitabu hicho kinakusanya tafakari msingi za hotuba zake zikifafanua maana ya Ulaya ili kuweza kurudia asili yake ya ubinadamu

 

 

 

Wito wa pamoja wa SECAM na COMECE kwa Wakuu wa Umoja wa Afrika katika mkutano utakao anza Ivory Coast tarehe 28-29 Novemba 2017.

Wito wa pamoja wa SECAM na COMECE kwa Wakuu wa Umoja wa Afrika katika mkutano utakao anza Ivory Coast tarehe 28-29 Novemba 2017.

Wito wa pamoja wa SECAM na COMECE kwa Wakuu wa Umoja wa Afrika na Ulaya!

10/11/2017 09:54

"Tunaomba haki na usawa katika biashara ya bidhaa na huduma, lakini hasa kuhusiana na rasilimali za asili, ambazo huchukuliwa kila mwaka kutoka Afrika. Ni maneno yanayothibitishwa na Maaskofu wa Afrika na Ulaya katika Waraka wa pamoja wa Tume ya Mabaraza ya Maaskofu Ulaya na SECAM 

 

Miaka 75 tangu alipofariki dunia Mt. Theresa Benedetta wa Msalaba, Edith Stein.

Miaka 75 tangu alipofariki dunia Mt. Theresa Benedetta wa Msalaba, Edith Stein.

Miaka 75 tangu alipofariki dunia Mt. Edith Stein: toba na wongofu!

08/08/2017 12:10

Baraza la Maaskofu Katoliki Poland linaadhimisha Jubilei ya Miaka 75 tangu alipofariki dunia Mtakatifu Theresa Benedetta wa Msalaba, kwa kuwataka waamini pamoja na watu wote wenye mapenzi mema Barani Ulaya kurejea tena kwenye misingi ya Ukristo; utu wema na kanuni maadili!

Ujerumani kuwekeza zaidi Euro milioni 300 kwa nchi za Afrika

Ujerumani ipo tayari kuwekeza zaidi Euro milioni 300 kwa maendeleo ya nchi za Afrika na kujenga ushirikiano mzuri kati ya Bara la Ulaya na Bara la Afrika

Chansela Merkel, Bara la Afrika ni rasilimali na fursa kwa uwekezaji

14/06/2017 13:43

Chansela Angela Merkel anapendekeza mpango mkakati wa ushirikiano wa kimaendeleo kati ya Bara la Ulaya na Bara la Afrika, kwa kulitazama Bara la Afrika kama rasilimali na fursa ya uwekezaji, ili kuliwezesha Bara hilo kusonga mbele kimaendeleo. Ujerumani ipo tayari kwa Euro milioni 300.