Mitandao ya kijamii:

RSS:

Radio Vatican

Sauti ya Papa na Kanisa katika majadiliano na ulimwengu

Lugha:

Bagamoyo Mlango wa Imani Tanzania Bara

Baraza la Maaskofu Katoliki Tanzania: Kilele cha Jubilei, tarehe 7 Oktoba 2018: Kauli mbiu: Miaka 150 ya Uinjilishaji, Furaha ya Injili.

Baraza la Maaskofu Katoliki Tanzania: Kilele cha Jubilei Jumapili tarehe 7 Oktoba, 2018. Kauli mbiu: Miaka 150 ya Uinjilishaji, Furaha ya Injili.

Baraza la Maaskofu Katoliki Tanzania: Maelekezo muhimu!

09/03/2018 15:30

Baraza la Maaskofu Katoliki Tanzania linatangaza kwamba, kilele cha Jubilei ya Miaka 150 ya Ukatoliki Tanzania Bara ni Jumapili tarehe 7 Oktoba 2018 huko Bagamoyo kwa kuongozwa na kauli mbiu: Miaka 150 ya Uinjilishaji, Furaha ya Injili. Jumapili tarehe 10 Machi 2018 waamini wanaalikwa kuchangia.

Baraza la Maaskofu Katoliki Tanzania katika maadhimisho ya Jubilei ya Miaka 150 ya Ukatoliki Tanzania Bara linazungumzia dhana ya umisionari!

Baraza la Maaskofu Katoliki Tanzania katika maadhimisho ya Jubilei ya Miaka 150 ya Ukatoliki Tanzania Bara linazungumzia kuhusu dhana, roho na sadaka ya kimisionari nchini Tanzania.

Baraza la Maaskofu Katoliki Tanzania: Roho na sadaka ya umisionari

01/03/2018 13:36

Baraza la Maaskofu Katoliki Tanzania katika maadhimisho ya Jubilei ya Miaka 150 ya Ukatoliki Tanzania Bara, yatakayofikia kilele chake hapo tarehe 7 Oktoba 2018 badala ya tarehe 2 Oktoba 2018, katika sura ya kwanza linapembua kuhusu: dhana, roho na sadaka ya umisionari nchini Tanzania!

Ujumbe wa Kwaresima kwa mwaka 2018 kutoka Baraza la Maaskofu Katoliki Tanzania: Uinjilishaji, mwelekeo na hatima ya Tanzania, demokrasia & haki msingi

Ujumbe wa Kwaresima kwa mwaka 2018 kutoka Baraza la Maaskofu Katoliki Tanzania unapembua maadhimisho ya Jubilei ya Miaka 150 ya Ukristo Tanzania Bara, Miaka 50 ya tamko la Mwelekeo na hatima ya Tanzania pamoja na masuala ya demokrasia na haki msingi za binadamu.

Ujumbe wa Kwaresima 2018 kutoka Baraza la Maaskofu Katoliki Tanzania

11/02/2018 07:55

Baraza la Maaskofu Katoliki Tanzania katika ujumbe wake wa Kwaresima kwa Mwaka 2018 linapembua changamoto ya uinjilishaji Tanzania Bara katika kipindi cha miaka 150 na matumaini kwa siku za usoni; mwelekeo na hatima ya Tanzania pamoja na uchaguzi wa serikali za vitaa kwa mwaka 2019.