Mitandao ya kijamii:

RSS:

Radio Vatican

Sauti ya Papa na Kanisa katika majadiliano na ulimwengu

Lugha:

Baba wa maskini

Papa Francisko anasema kwa mfano wa Don Tonino ni lazima kuamka na kujikita katika matendo ya dhati hasa kwa maskini

Papa Francisko anasema kwa mfano wa Don Tonino ni lazima kuamka na kujikita katika matendo ya dhati hasa kwa walio wadhaifu

Papa:Mfano wa Don Tonino wote tunaweza kuwa kisima cha matumaini!

20/04/2018 17:24

Ingekuwa vizuri katika Jimbo lenu la DonTonino Bello likawepo tangazo katika milango ya makanisa yote ili wote waweze kusoma neno hili: hakuna kuishi ubinafsi mara baada ya Misa, bali kuishi kwa ajili ya wengine!Ni maneno ya Papa Francisko wakati wa mahubiri yake kwa waamini  jimboni Molfetta!

 

Papa Francisko akiwa katika Kaburi la Mtumishi wa Mungu Askofu Tonino Bello

Papa Francisko akiwa katika Kaburi la Mtumishi wa Mungu Askofu Tonino Bello

Papa:Don Tonino Bello alikuwa kama Kanisa linalowaka upendo!

20/04/2018 16:00

Tarehe 20 Aprili 2018 Papa Francisko amefanya ziara yake katika mji wa Alessano na kutoa hotuba akimtafakari Askofu Tonino Bello kwa mambo makuu matatu yakuwa,alikuwa kama Kanisa linalowaka upendo,hakujalia ukuu na hata sifa alikuwa amesimika miguu ardhini lmacho yake akizama juu

 

Siku ya mwisho ya hukumu, wote tutahumiwa juu ya upendo; Yesu anasema: Nilikuwa na njaa mkanipa chakula!

Siku ya mwisho ya hukumu, wote tutahumiwa juu ya upendo; Yesu anasema: Nilikuwa na njaa mkanipa chakula!

Maneno ya Papa Francisko kuhusu jehanamu na huruma inayoleta wovu!

30/03/2018 16:46

Wakati tunapojiandaa kwa siku hizi tatu Kuu kabla ya Sikukuu ya Pasaka, mwandishi wa habari wa Radio Vatican amejaribu kutafuta  tafakari za Papa Francisko kuhusiana na suala la Jehanamu,peponi na huruma,hasa kujikita katika tafakari mbalimbali kwa miaka hii tangu aanze utume wake 

 

 

Baba Mtakatifu Francisko amehimiza waamini wa Pietrelcina  kushuhudia ukuhani wa Padre Pio

Baba Mtakatifu Francisko amehimiza waamini wa Pietrelcina kushuhudia ukuhani wa Padre Pio

Ziara ya Papa Francisko Pietrelcina: Igeni mifano ya Padre Pio!

17/03/2018 10:25

Hotuba ya kwanza ya Papa Francisko huko Pietrelcina tarehe 17 Machi 2018, akiwa katika Ziara yake  akielekea  hata San Giovanni Rotondo.Papa Francisko amesema kwamba waige mifano ya fadhila za padre Pio katika sala ili waweze kuwa vyombo vya upendo wa Mungu na upendo wa Yesu kwa wadhaifu.

 

Michezo ya kamari na upatu ni hatari sana kwa maisha ya watu wengi nchini Italia!

Michezo ya kamari na upatu ni hatari sana kwa wananchi wengi nchini Italia.

Mchezo wa kamari na upatu ni hatari sana kwa maisha ya watu!

03/02/2018 15:44

Kamati ya Ushauri Kitaifa nchini Italia dhidi ya mchezo wa kamari na upatu, Jumamosi, tarehe 3 Februari 2018 imepata nafasi ya kukutana na kusali kwenye kaburi la Mtakatifu Yohane Paulo II ili kuomba ulinzi na tunza yake katika mapambano dhidi ya athari za michezo ya kamari na upatu kwa watu.

Baba Mtakatifu  katika Ukumbi wa Mwenyeheri Paulo VI akishiriki  chakula cha sikukuu na watu 1,500 wahitaji na maskini Jumapili 19 Novemba 2017

Baba Mtakatifu katika Ukumbi wa Mwenyeheri Paulo VI akishiriki chakula cha sikukuu na watu 1,500 wahitaji na maskini Jumapili 19 Novemba 2017

Papa ameshiriki chakula na watu 1,500 katika ukumbi wa Paulo VI Vatican!

20/11/2017 11:17

Mara baada ya sala ya malaika wa Bwana na ujumbe mbalimbali,Baba Mtakatifu alielekea moja kwa moja katika Ukumbi wa Mwenyeheri Paulo VI ili kuweza kushiriki chakula cha sikukuu na watu 1,500 ambao ni wahitaji,wasiokuwa na makazi na maskini, wakisindikizwa na wahudumu wa kujitolea 

 

Baba Mtakatifu amekumbuka wajajeshi 44 waliotoweka na Nyambizi ya Ara San Juan nchini Argentina wakati wa sala ya Malaika wa Bwana

Baba Mtakatifu amekumbuka wajajeshi 44 waliotoweka na Nyambizi ya Ara San Juan nchini Argentina wakati wa sala ya Malaika wa Bwana

Papa awakumbusha maana ya Siku ya Maskini duniani 2017 na matukio mengine!

19/11/2017 15:35

Baba Mtakatifu mara baada ya Sla ya Malaika wa Bwana amefafanua lengo la  kufanya Siku ya Maskini Dunia kwa mwaka 2017.Kuwakumbuka watu wa migogoro ya vita nchini Lebano, wanajeshi 44 walipotea na Nyambizi huko Argentina na Siku ya kukumbuka wahanga wa ajali za barabara

 

 

Tuwajibishe zawadi za Mungu tunazopewa maana tutaulizwa siku ya mwisho !

Tuwajibishe zawadi za Mungu tunazopewa maana tutaulizwa siku ya mwisho !

Papa:Tuwe na matumaini na kuondoa hofu juu ya zawadi za Mungu!

19/11/2017 15:27

Baba Mtakatifu amesema Injili ya talanta inatualika kuwa na uwajibikaji binafsi na matumaini ambayo yanajikita kuendelea katika njia mpya bila kuichimbia talanta chini ya ardhi,yaani zawadi za Mungu tulizo kabidhiwa maana tutaulizwa siku ya mwisho.Tubaki waaminifu na kuwasaidia wengine